Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Sidhani kama Azam itabadilika tena kwasababu kila aina ya usajili wamefanya, siyo wachezaji au makocha wamesajili sana mara nyingi ila kitu ni kile kile.
Timu nyingi kwenye ligi unaona mabadiliko kila mwaka zinapiga hatua ila Azam haieleweki,kwa mwenendo wa Azam naona miaka inayokuja hata nafasi za juu hawezi kugombania atabaki kwenye nafasi za kati.
Hii timu imedumaa,haina morali haiwezi kuleta jipya zaidi ya hapa. Azam wameshajaribu kula njia ila wanafeli sidhani kama itakuwa timu tishio kwenye ligi.