akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 674
- 868
Mara ya mwisho kukutana walikula chuma 4 pamoja na kukamia kwao na kukata mauno.Uwezo wenu ukiwa mdogo mnasema mnakamiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara ya mwisho kukutana walikula chuma 4 pamoja na kukamia kwao na kukata mauno.Uwezo wenu ukiwa mdogo mnasema mnakamiwa
Salehe ni Simba damu danu na alipewa pesa na Nguruwe FC awaumize mabeki angalau wawili wa Utopolo !Kinachoiponza Azama ni kwamba haitoi rushwa kwa wachezaji wa timu pinzani. Huwezi ukaona mchezaji wa timu inayocheza na Azam analazimisha apewe kadi nyekundu
Kadi ya kupambania timu na kadi ya kujipa zote zinaonekana bayana maana soka ni mchezo wa hadharaniSawa kwani Kanoute zile kadi nyekundu alikuwa anapewa chumbani?
Sawa kwa hiyo Kanoute alipewa chumbani sio hadharani?Kadi ya kupambania timu na kadi ya kujipa zote zinaonekana bayana maana soka ni mchezo wa hadharani
Wamuondoe mkurugenzi wa ufundiSidhani kama Azam itabadilika tena kwasababu kila aina ya usajili wamefanya, siyo wachezaji au makocha wamesajili sana mara nyingi ila kitu ni kile kile.
Timu nyingi kwenye ligi unaona mabadiliko kila mwaka zinapiga hatua ila Azam haieleweki,kwa mwenendo wa Azam naona miaka inayokuja hata nafasi za juu hawezi kugombania atabaki kwenye nafasi za kati.
Hii timu imedumaa,haina morali haiwezi kuleta jipya zaidi ya hapa. Azam wameshajaribu kula njia ila wanafeli sidhani kama itakuwa timu tishio kwenye ligi.
Azam fc, Azam ni taasisiSidhani kama Azam itabadilika tena kwasababu kila aina ya usajili wamefanya, siyo wachezaji au makocha wamesajili sana mara nyingi ila kitu ni kile kile.
Timu nyingi kwenye ligi unaona mabadiliko kila mwaka zinapiga hatua ila Azam haieleweki,kwa mwenendo wa Azam naona miaka inayokuja hata nafasi za juu hawezi kugombania atabaki kwenye nafasi za kati.
Hii timu imedumaa,haina morali haiwezi kuleta jipya zaidi ya hapa. Azam wameshajaribu kula njia ila wanafeli sidhani kama itakuwa timu tishio kwenye ligi.
Hata penalty marefa hawatoiKinachoiponza Azama ni kwamba haitoi rushwa kwa wachezaji wa timu pinzani.
Huwezi ukaona mchezaji wa timu inayocheza na Azam analazimisha apewe kadi nyekundu
Wameshika nafasi za watuAzam wamejitafuta wamejipata?
Lakini ni kama Kila mechi wanashida siku hizi.Wameshika nafasi za watu
Wanajitahidi. Japo ubingwa bado kuna vigogo wawili wamekita mizizi. Na sasa kuna kigogo mmoja ambaye amevunja kibubu hivi karibuni na kuwapa thank you wachezaji wengi anaonekana kuwa tishio.Lakini ni kama Kila mechi wanashida siku hizi.