Hawa Namungo wamedhaminiwa Azam,vip hawa nao ni tawi la Azam FC?Sidhani kama Azam itabadilika tena kwasababu kila aina ya usajili wamefanya, siyo wachezaji au makocha wamesajili sana mara nyingi ila kitu ni kile kile.
Timu nyingi kwenye ligi unaona mabadiliko kila mwaka zinapiga hatua ila Azam haieleweki,kwa mwenendo wa Azam naona miaka inayokuja hata nafasi za juu hawezi kugombania atabaki kwenye nafasi za kati ,hii timu imedumaa,haina morali haiwezi kuleta jipya zaidi ya hapa. Azam wameshajaribu kula njia ila wanafeli sidhani kama itakuwa timu tisho kwenye ligi.
Kinachoiponza Azama ni kwamba haitoi rushwa kwa wachezaji wa timu pinzani.Sidhani kama Azam itabadilika tena kwasababu kila aina ya usajili wamefanya, siyo wachezaji au makocha wamesajili sana mara nyingi ila kitu.. .
Hata kama hawatoi bahasha lakini Azam kifedha ipo juu sana wanaweza kufanya usajili wa maana, wana vitendea kazi,uwanja wao na n.k kuliko timu zingine,hii timu kwa uchumi wao wangekuwa na uwezo wa kuwa na kikosi hatari sana hata bahasha hazina maana.Kinachoiponza Azama ni kwamba haitoi rushwa kwa wachezaji wa timu pinzani. Huwezi ukaona mchezaji wa timu inayocheza na Azam analazimisha apewe kadi nyekundu
Nimekuuliza unayesemaga kwa timu zinazo dhaminiwa na GSM mwamba matawi ya Yanga.Ingekuwa ni Yanga wangelalamika wanakamiwa
Bakhresa ipo fair, haijaingia udhamini na timu kwa nia ovu ya kuihonga. hao wengine ndio kama mlivyoona, mchezaji anajipa kadi nyekunduNimekuuliza unayesemaga kwa timu zinazo dhaminiwa na GSM mwamba matawi ya Yanga. Haya Namungo huyo hao mmiliki wa Azam FC ndiye mdhamini mkuu wa Namungo, kupitia bidhaa yake ya Azam Max,vipi Namungo nae ni tawi la Azam?
Tofautisha Azam na Namungo, Miamba ya figisu inajulikana kwenye ligi ni miwili kila mtu na janja janja yake ila siyo kwa hizo timu zingineNimekuuliza unayesemaga kwa timu zinazo dhaminiwa na GSM mwamba matawi ya Yanga. Haya Namungo huyo hao mmiliki wa Azam FC ndiye mdhamini mkuu wa Namungo, kupitia bidhaa yake ya Azam Max,vipi Namungo nae ni tawi la Azam?
Kwa hiyo kwa Azam hata akidhamini timu tofauti tofauti ni sawa?Tofautisha Azam na Namungo, Miamba ya figisu inajulikana kwenye ligi ni miwili kila mtu na janja janja yake ila siyo kwa hizo timu zingine
Umejuaje?Je unaushahidi wa Yanga kuhonga?Bakhresa ipo fair, haijaingia udhamini na timu kwa nia ovu ya kuihonga. hao wengine ndio kama mlivyoona, mchezaji anajipa kadi nyekundu
Mpira wa miguu ni mchezo unaochezwa hadharaniMchezaji anajipaje kadi nyekundu?
Mungu akupi vyote....Sidhani kama Azam itabadilika tena kwasababu kila aina ya usajili wamefanya, siyo wachezaji au makocha wamesajili sana mara nyingi ila kitu ni kile kile.
Timu nyingi kwenye ligi unaona mabadiliko kila mwaka zinapiga hatua ila Azam haieleweki,kwa mwenendo wa Azam naona miaka inayokuja hata nafasi za juu hawezi kugombania atabaki kwenye nafasi za kati ,hii timu imedumaa,haina morali haiwezi kuleta jipya zaidi ya hapa. Azam wameshajaribu kula njia ila wanafeli sidhani kama itakuwa timu tisho kwenye ligi.
Sawa kwani Kanoute zile kadi nyekundu alikuwa anapewa chumbani?Mpira wa miguu ni mchezo unaochezwa hadharani
Laana ya kuikamia Yanga Africa na kuwalegezea Madunduka sc.Sidhani kama Azam itabadilika tena kwasababu kila aina ya usajili wamefanya, siyo wachezaji au makocha wamesajili sana mara nyingi ila kitu ni kile kile.
Timu nyingi kwenye ligi unaona mabadiliko kila mwaka zinapiga hatua ila Azam haieleweki,kwa mwenendo wa Azam naona miaka inayokuja hata nafasi za juu hawezi kugombania atabaki kwenye nafasi za kati ,hii timu imedumaa,haina morali haiwezi kuleta jipya zaidi ya hapa. Azam wameshajaribu kula njia ila wanafeli sidhani kama itakuwa timu tisho kwenye ligi.
GSM aliletwa kwanza kama mdhamini mwenza kwenye ligi na TFF wakasema mkataba usihojiwe,kelele ilipopigwa mbona hawakuendelea?una timu kwenye ligi na unataka udhamini wengine? Usione watu ni wajinga bhana!Kwa hiyo kwa Azam hata akidhamini timu tofauti tofauti ni sawa?
Ila kwa GSM si sawa?
Yaani ni sawa na kusema una aleji ya nyama ya ng'ombe ila mchuzi wake unakunywa.
Kama yule wa pamba leoKinachoiponza Azama ni kwamba haitoi rushwa kwa wachezaji wa timu pinzani. Huwezi ukaona mchezaji wa timu inayocheza na Azam analazimisha apewe kadi nyekundu
Unatakiwa ujibu kama nao pia ni tawi la Azam?Tofautisha Azam na Namungo, Miamba ya figisu inajulikana kwenye ligi ni miwili kila mtu na janja janja yake ila siyo kwa hizo timu zingine
Hujanipa utofauti wa udhaminu wa Namungo na Azam na GSM kwa timu nyingine.GSM aliletwa kwanza kama mdhamini mwenza kwenye ligi na TFF wakasema mkataba usihojiwe,kelele ilipopigwa mbona hawakuendelea?una timu kwenye ligi na unataka udhamini wengine? Usione watu ni wajinga bhana!