Azam ni timu iliyopoteza mwelekeo

Kinachoiponza Azama ni kwamba haitoi rushwa kwa wachezaji wa timu pinzani. Huwezi ukaona mchezaji wa timu inayocheza na Azam analazimisha apewe kadi nyekundu
Salehe ni Simba damu danu na alipewa pesa na Nguruwe FC awaumize mabeki angalau wawili wa Utopolo !
 
Kadi ya kupambania timu na kadi ya kujipa zote zinaonekana bayana maana soka ni mchezo wa hadharani
Sawa kwa hiyo Kanoute alipewa chumbani sio hadharani?

Au kadi ya kuipambania timu na amabayo si ya kuipambania unaipimaje?
 
Wamuondoe mkurugenzi wa ufundi
 
Azam fc, Azam ni taasisi
 
Kinachoiponza Azama ni kwamba haitoi rushwa kwa wachezaji wa timu pinzani.

Huwezi ukaona mchezaji wa timu inayocheza na Azam analazimisha apewe kadi nyekundu
Hata penalty marefa hawatoi
 
Ile njemba ya Pamba jiji jana ilitafuta kadi nyekundu kwa udi na uvumba....πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Azam fc makocha na wachezaji hakuna tatizo kabisa
Tatizo ni utawala wa hii timu na nyakati zote wanaambiwa Hilo suala hawataki kulichukulia hatua

mwenye timu Kuna watu anawaamini na wamepewa nyadhifa kuiongoza timu wameshindwa na mifumo walio nayo na hili tatizo Azam wenyewe "hawajui kuwa hawajui"

Kuanza upya sio ujinga kujifunza Kwa walio fanikiwa sio kosa

Technolojia inauzwa usiseme wenzetu ni magineus wamegudua kitu Fulani na sisi tungundue cha design yetu kuwapiku Simba na yanga zimewahi kuleta vichwa vya kuwasaidia kutoka nje na wakafanikiwa Sasa hivi wanaishi kutokana na ile elimu walioachiwa

Sasa hivi wachambuzi WA michezo wakianza kuzungumza kuhusu Azam wakija wasemaje wao inakuwa kizaa zaa ni kama wanatishiwa Kwa namna Moja au nyingine
 
Lakini ni kama Kila mechi wanashida siku hizi.
Wanajitahidi. Japo ubingwa bado kuna vigogo wawili wamekita mizizi. Na sasa kuna kigogo mmoja ambaye amevunja kibubu hivi karibuni na kuwapa thank you wachezaji wengi anaonekana kuwa tishio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…