Azam offered too little for Airing the plateau vs Simba?

Azam offered too little for Airing the plateau vs Simba?

logframe

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
4,242
Reaction score
5,543
Plateau United have blocked Tanzania media house Azam TV from streaming their CAF Champions League preliminary round first leg fixture against Simba SC.

Plateau United (who owns all the media rights) felt that what Azam TV was offering was not enough for a match of that magnitude.
Source : Gold sports

My take: What a lame excuse from the plateau's side!
 
Kwahiyo wamempa nani TV rights za kuonyesha hiyo game live?kwa maana siyo lazima tuiangalie hiyo game kupitia Azam Tv....vipi kuhusu SuperSport ya hapa bongo wanaweza onyesha live hiyo mechi?
 
Hao plateau wahuni.. waseme rights wamempa nani ? Maana pay per view providers wapo wengi africa sio azam tu.. kuna multichoice, kuna kwese , bein sports, canal france etc
 
Hao plateau wahuni.. waseme rights wamempa nani ? Maana pay per view providers wapo wengi africa sio azam tu.. kuna multichoice, kuna kwese , bein sports, canal france etc
Kuna jamaa humu JF kasema kuwa canal wanaonesha
IMG_20201129_162148.jpg
 
Nilidhani hizo mechi kwa kuwa wadhamini wake ni Total wao na CAF ndio watakuwa na last say, kumbe I was wrong, sasa nini maana ya kuwa na wadhamini kwa mtindo huo?
 
Teheee tehee. Hizo ni dalili za Kipigooo cha mbwa koko kwa jiran na adui wetu mkubwa mikia fc tehee tehee
 
Uchumi wa kati wa Tanzania umeshindwa kuwa na makampuni makubwa kudhamini mechi hii kupitia Azam TV.

Channel nyingi kimataifa hutafuta hutafuta mdhamini atakayegharamia kulipia leseni ya muda kurusha matangazo kwa wenye haki na pia kugharamia gharama za Azam TV kuwezesha kurusha mechi.

Kampuni za bia, Mobile Phone, mabenki n.k ya Tanzania vipi uchumi wenu mdogo hata kugharamia matangazo ? Azam TV haiwezi kubeba gharama hizo bila kuwepo mdhamini kwa mkataba maalum.

Chaneli za michezo kama za Super sports, channel za uarabuni, South Africa, Ulaya Marekani ya Kaskazini ESPN n.k hushirikiana na makampuni kudhamini na kuufanikisha kurushwa matangazo ya michezo na siyo vinginevyo kuwa vituo vya Televisheni kubeba mzigo wote.

Na ndiyo maana tunaona Michezo inaendelea kurusha live ktk TV bila watazamaji uwanjani kipindi hiki cha Covid -19 kwani nyuma ya "pazia" vituo hivyo vya TV kuna wadhamini wakubwa yaani makampuni wanagharamia zoezi hilo ili makampuni hayo yajitanue kibiashara, kuongeza mauzo ya bidhaa / huduma za wadhamini kufahamika n.k.
 
UKISEMA UCHUMI MDOGO UNAKOSEA MKU ILA WATU HAWAJAAMUA NA WALA HAWAJAJUA JINSI YA KU INVEST HUMO
 
Back
Top Bottom