EXODUS ZION
Member
- Apr 17, 2024
- 95
- 149
Ndugu zangu habarini samahani hivi ni mimi peke yangu huku ninako ishi ni kwamba azam pesa mawakala wake wananigomea au na kwenu.
Lakini nipende kuwapongeza Azam pesa tje way inavyofanya kazi kwa upande wa kutuma pesa hasa katika makato sio makubwa ila sasa shida inakuja kwenye kutoa pesa kupitia mawakala wa Azam pesa nimejaribu almost ma wakala 7 wote wanagoma ikanibidi nimuulize mmoja akanambia "Hatuwezi kufajya kazi ya kumnufaisha mtu" mwingine akasema kwamba commission zao hazitoki moja kwa moja kutoka kwa wamiliki wa Azam pesa