EXODUS ZION
Member
- Apr 17, 2024
- 95
- 149
Ndugu zangu habarini samahani hivi ni mimi peke yangu huku ninako ishi ni kwamba azam pesa mawakala wake wananigomea au na kwenu.......
Lakini nipende kuwapongeza azam pesa tje way inavyofanya kazi kwa upande wa kutuma pesa hasa katika makato sio makubwa ila sasa shida inakuja kwenye kutoa pesa kupitia mawakala wa azam pesa nimejaribu almost ma wakala 7 wote wanagoma ikanibido nimuulize mmoja akanambia "Hatuwezi kufajya kazi ya kumnufaisha mtu" mwingine akasema kwamba commission zao hazitoki moja kwa moja kutoka kwa wamiliki wa azam pesa
Wabongo mnavyopenda vitu vya bureNdugu zangu habarini samahani hivi ni mimi peke yangu huku ninako ishi ni kwamba azam pesa mawakala wake wananigomea au na kwenu.
Lakini nipende kuwapongeza Azam pesa tje way inavyofanya kazi kwa upande wa kutuma pesa hasa katika makato sio makubwa ila sasa shida inakuja kwenye kutoa pesa kupitia mawakala wa Azam pesa nimejaribu almost ma wakala 7 wote wanagoma ikanibidi nimuulize mmoja akanambia "Hatuwezi kufajya kazi ya kumnufaisha mtu" mwingine akasema kwamba commission zao hazitoki moja kwa moja kutoka kwa wamiliki wa Azam pesa
Sheikh hiyo pesa ulitaka kwenda nao bar au guest nini wale jamaa madude yao yanamachale sana..!Ndugu zangu habarini samahani hivi ni mimi peke yangu huku ninako ishi ni kwamba azam pesa mawakala wake wananigomea au na kwenu.
Lakini nipende kuwapongeza Azam pesa tje way inavyofanya kazi kwa upande wa kutuma pesa hasa katika makato sio makubwa ila sasa shida inakuja kwenye kutoa pesa kupitia mawakala wa Azam pesa nimejaribu almost ma wakala 7 wote wanagoma ikanibidi nimuulize mmoja akanambia "Hatuwezi kufajya kazi ya kumnufaisha mtu" mwingine akasema kwamba commission zao hazitoki moja kwa moja kutoka kwa wamiliki wa Azam pesa
Ingia play store search azam pesa ni nzuri sana kuitumia kutuma na kupokea piah pesaKumbe Kuna Azam pesa mazee
Amna ndugu nimejaribu several times mawakala wananigomeaSheikh hiyo pesa ulitaka kwenda nao bar au guest nini wale jamaa madude yao yanamachale sana..!
Elewa thread mzeeWabongo mnavyopenda vitu vya bure
Nielewe nini zaidi ya kuwa unahangaika kutafuta azam pesa kisa makato ni madogoElewa thread mzee
Amna ndugu nimejaribu several times mawakala wananigomea
Nimetafuta njia ambayo ni sahihi na salama kuweka pesaNielewe nini zaidi ya kuwa unahangaika kutafuta azam pesa kisa makato ni madogo
Ushawahi itumiaLabda tuanze kujadili lengo la azam pesa lilikua ni lipi?
Hapana mkuuUshawahi itumia
Sipo hapa kuharibu biashara yao ila kwa tafiti yangu ndogo ndani ya muda mfupi malalamiko ni mengi sana kuhusu azam pesa, msijichanganye.Ingia play store search azam pesa ni nzuri sana kuitumia kutuma na kupokea piah pesa
Kwamba ukiweka pesa kwenye hiyo mitandao mikubwa sio njia sahihi hadi uhangaike kutafuta mtandao mchanga hata lain haunaNimetafuta njia ambayo ni sahihi na salama kuweka pesa
Ndio maana kuna kusuka na kunyoa mzee chaguo ni lako
Lakini piah tufanue hivi sawa
Mimi business model yake sjaielewa, haiwezekani utumie kwenye miamala kama mitandao mingine kwa makato nafuu huku ukitumia laini za watu wengine, nipo tayari kusikilizaSipo hapa kuharibu biashara yao ila kwa tafiti yangu ndogo ndani ya muda mfupi malalamiko ni mengi sana kuhusu azam pesa, msijichanganye.
Changamoto yao kubwa ni makato na upotevu wa fedha bila ya taarifa.Mimi business model yake sjaielewa, haiwezekani utumie kwenye miamala kama mitandao mingine kwa makato nafuu huku ukitumia laini za watu wengine, nipo tayari kusikiliza