Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Jana 10-10-2024 Majira saa tatu usiku hapa DRC Kinshasa, na huko Tanganyika majira ya sa moja usiku sawa na Zanzibar saa moja usiku kulikuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Tanganyika Stars na DRC.
Inonga, Mayele na Kalulu walifana sana na walionyesha ni namna gani wachezaji wa Kitanganyika wanajidanganya na timu zao za Simba na Yanga na kwamba kama TFF wangeruhusu wachezaji 20 wa kigeni basi Simba na Yanga zingesajili wachezaji wote wa Kigeni.
UBORA WA PICHA.
Azam waliweka watangazaji wa kifaransa, na picha mbaya sana, hapo Azam walijitahidi sana na sisi wazalendo tunawapongeza sana, kama ytuna televisheni ya taifa ambayo hata tangazo la timu ya taifa hawaweki, kama tuna redio za tafa ambazo hata kutangaza hawatangazin, AZAM ni mfanya biashara bimafsi na hana ruzuku hivyo kwa alichofanya amejitahidi sana.
Bhakhresa binafsi huyu jamaa ni mzalendo namba mbili ukiachilia mbali rais ambaye ndiye anasimamia nchi.
MUNGU ANA WIVU:Mungu hata sikumoja hagawani utukufu na wanadamu, Kufungwa kulikuwa pale pale na tutaendelea kufungwa maana kuna MACHAWA timu ikishinda badala wampongeze mchezaji, timu na Kumshukuru Mungu wao wanampongeza mwanadamu !
Soma Pia: Full Time DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024
KAMA SI AZAM JANA HAKUNA MTANZANIA ANGEONA MECHI.
Azam wapongezwe badala ya kulaumiwa na mchawi wenu ni Luninga yenu ya taifa hata jina silikumbuki.