AZAM: Pongezi Kwa kutuletea mechi Mubashara Taifa Stars vs Kongo,Wengine waige!

AZAM: Pongezi Kwa kutuletea mechi Mubashara Taifa Stars vs Kongo,Wengine waige!

Nachojua mimitupo mbele kwa saa 1 na Lubumbashi
Halafu saa 2 mbele kwa Kinshasa
Screenshot_20241011-092037.png
 
Kwahiyo Tanganyika ikiwa saa moja jioni huko Kinshasa DRC ni saa tatu usiku?

Kwamba siku hizi majira yamebadilika kiasi hicho? Ninavyofahamu Tanganyika tumewaacha nyuma sio chini ya lisaa limoja kwa maana Tanganyika tupo mbele kwa saa moja zaidi ya Congo.
NETANYAHU AKBAR
 
Utukufu na Ukuu wa Mungu, u-na yeye milele na milele hallelujah.
Namshukuru Mungu kwaajili yako na yangu kwa zawadi ya uhai na afya anazotujalia bure daima.

Neema na Baraka za ziambatane na kuandamana na viongozi na wananchi wote Tanzania, katika kazi na majukumu yetu muhimu ya kila siku.

Namuombea Rais na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu na wasaidizi wake, afya njema, bidii na maarifa zaidi katika kuliongoza Taifa kwa haki, usawa, uhuru na Amani..

Nashukuru kwa niaba ya wanamichezo Tanzania, mchana wa Rais katika kuboresha sekta ya michezo mbalimbali. Kipekee namshukuru kwaajili ya goli la mama, kwa timu zetu nchini zinazoshiriki mashindano ya kimataifa. Hii imeleta ari na imehamasisha sasa wananchi kupenda timu ndani ya nchi yao..

Asanti kwa vyombo vya habari vya umma na vile vya kibinafsi, kwa kurusha matangazo mubasha ya mechi ya Taifa Stars na DRC, kwa hakika waTanzania wamepata kujua jinsi timu yao ya kizalendo, ilivyo imarika vizuri hivi sasa..

Asanti TBCTaifa 🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Misahafu inasema amelaaniwa amtumainiye binadamu.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Misahafu inasema amelaaniwa amtumainiye binadamu.

Au nasema uongo ndugu yangu?
Yes,
it's true kabisa gentleman,

kwa mfano ni hivi majuzi tu hapa nchini , kiongozi moja wa kisiasa kwasababu ya kuchochewa na ulevi wake tu akakurupuka eti alitaka kuwatumia wanachama wa chama chake kushiriki maandamano haramu yaliyopigwa marufuku na polisi 🤣

akaambulia usaliti wa kiwango cha juu sana. Mungu akawaepusha wanachama wake wakajitenga na kujiepusha na kiongozi huyo mlevi 🐒
 
Kwa hiyo wananchi hawakuja kwa sababu walimsusa Kwa utashi wao?

Kwamba hayo yakitokea wakati mazingira yote na rafiki ya kufanikisha maandamano hayo yakiwapo?
 
Kwa hiyo wananchi hawakuja kwa sababu walimsusa Kwa utashi wao?

Kwamba hayo yakitokea wakati mazingira yote na rafiki ya kufanikisha maandamano hayo yakiwapo?
Ni Mungu aliwaepusha kutumikishwa na mlevi 🐒
 
Ni Mungu aliwaepusha kutumikishwa na mlevi 🐒

Huyu Mungu anavaa magwanda, Buti, kubeba bunduki na virungu?

Ana pingu, mbwa, radio na magari ya washa washa?

Ana kararakana vituoni na hata kumiliki wasiojulikana?

Nk nk.. ?
 
Huyu Mungu anavaa magwanda, Buti, kubeba bunduki na virungu?

Ana pingu, mbwa, radio na magari ya washa washa?

Ana kararakana vituoni na hata kumiliki wasiojulikana?

Nk nk.. ?
Unamkataa Mungu wa Majeshi tena? Dah 🤣
 
Back
Top Bottom