Msuva Azam duhKuna muda Azam ilikua yamoto enzi za Msuva na Manula mpaka wakabeba ndoo
Sababu nyingine ni
Kwanini timu zinazomilikiwa na majeshi hazidumu kwenye ligi na zina matokeo mabovu?
Kwanini hizi team uwa hazidumu kwenye ligi na zinaongoza kwa matokeo mabaya??Na sio Bongo pekee ni E.Africa ndo tuna ili pepo la team za majeshi ligi zilizoendelea kiafrica kama S.Africa na Egypt,Morocco,Algeria amna team za majeshi.Huko duniani EPL hata tusifike kabisa.. Pia zinaongoza kwa...www.jamiiforums.com
Msuva kachezea Azam kabla ya UTo kumbe wwe ndo hujuiMsuva Azam duh
Sio ligi kuu under 20 msuva soka la ushindani kaanza Moro unitedMsuva kachezea Azam kabla ya UTo kumbe wwe ndo hujui
Baada ya moro akaenda wapi? Yanga walimtoa team gani??Sio ligi kuu under 20 msuva soka la ushindani kaanza Moro united
yanga walimtoa Moro united yani katoka Moro united kaenda yanga na alikua yeye na Thomas ulimwengu pale Moro united Ila kwa uapnde wa Thomas ulimwengu tff waliwagomea yanga Kwamba anamilikiwa na tff ivo usajili batili na ndio akaenda mazembe okBaada ya moro akaenda wapi? Yanga walimtoa team gani??
Kweli mkuu, Kuna point hapa [emoji3578]Mkurugenzi wa lamba lamba fc na lamba lamba group mwanzoni alikuwa ana Nia nzuri ya kimapinduzi kwenye soka la kibongo na kimataifa
Baada ya kuingia uwanjani akasanuka asilimia kubwa ya mpira wa bongo unachezwa nje ya kiwanja kwanza.Hii ilimfanya akate tamaa na uwekezaji wa serious.
Tatizo linaanzia Kwa serikali,viongozi walimu,wachezaji,wachambuzi,watangazaji ,wasimamizi mpaka Kwa mashabiki kama sio wanachama.Mtiririko wote una mahaba na vilabu vyao na sio wapenzi wa mpira.
Kwa Hali usitegemee soka kukua ikiwa Kila mtu anapendelea klabu yake
THE AKILI KUBWAzSimba na Yanga ni timu za serikali(zinatumika kisiasa).Hakuna timu itakayokuwa juu ya hizo,na timu hiyo/hizo zikija juu zitashushwa tu.