Azam SC na timu zingine ni kipi kinawafanya washindwe kuwatoa kwenye reli hawa mapacha wa Kariakoo Simba na Yanga?

Huyo mmiliki wa Azam mwenyewe Simba damu anawaza simba itafanyaje vizuri kuliko timu take ya Azam.
 
Kuna muda Azam ilikua yamoto enzi za Msuva na Manula mpaka wakabeba ndoo

Sababu nyingine ni

Msuva Azam duh
 
Baada ya moro akaenda wapi? Yanga walimtoa team gani??
yanga walimtoa Moro united yani katoka Moro united kaenda yanga na alikua yeye na Thomas ulimwengu pale Moro united Ila kwa uapnde wa Thomas ulimwengu tff waliwagomea yanga Kwamba anamilikiwa na tff ivo usajili batili na ndio akaenda mazembe ok
 
Mkurugenzi wa lamba lamba fc na lamba lamba group mwanzoni alikuwa ana Nia nzuri ya kimapinduzi kwenye soka la kibongo na kimataifa

Baada ya kuingia uwanjani akasanuka asilimia kubwa ya mpira wa bongo unachezwa nje ya kiwanja kwanza.Hii ilimfanya akate tamaa na uwekezaji wa serious.

Tatizo linaanzia Kwa serikali,viongozi walimu,wachezaji,wachambuzi,watangazaji ,wasimamizi mpaka Kwa mashabiki kama sio wanachama.Mtiririko wote una mahaba na vilabu vyao na sio wapenzi wa mpira.

Kwa Hali usitegemee soka kukua ikiwa Kila mtu anapendelea klabu yake
 
Kweli mkuu, Kuna point hapa [emoji3578]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom