Azam shusheni ESPN 1&2 zije kwenye kifurushi Cha 25000

Azam shusheni ESPN 1&2 zije kwenye kifurushi Cha 25000

Naona morogoro na mbeya nao wanaandaa. Bila kusahau MANDONGA ,mwakinyo na durambabe😀😀
Na Kuna nyingine WABABE WA KITAA (WWK) Azam Kuna namna wanatuchukulia wateja wao😂
 
Wakuu najua Azam managers huwa wanapita humu jamii kusomasoma na kujua wadau wanasemaje
Ombi langu ESPN zipunguzwe bei kule Kuna basketball na American football hizi mambo huwa zina rock sana kwa sisi ambao tumewahi angalau kidogo kuishi Philadelphia (the most cleanest city on earth)
Naomba mpunguze bei ili tuone kama tutakavyoona Taifa cup
Wameondoa hadi Clouds Tv kwenye kifurushi cha 25,000
 
Salama yao ni dstv kutoonyesha mipira ya tanzania.....wangejuta
Biashara Yao ingekufa mapema
Hata hivyo wasijiaminishe sana maana kwa huu mwendo hawatafika kwa content ya NBC pekee na Crdb inayoanza kuchangamka kuanzia nusu final watapigwa gape sana
 
Inauma sana ! Haiwezekani nalipia 25k niangalie ngumi za vilabuni na football ya kwenye mijaruba mkuu!

Bora hata ligi za maveterani za marekani na basketball
ESPN na fox huwa wako vizuri sana
Ligi ya kabombe na mpenja dah Kuna wakati hadi inachosha
 
Wameondoa hadi Clouds Tv kwenye kifurushi cha 25,000
Niliwapigia wamenirudishia clouds kwenye kifurushi cha 25,000 na chanel zote za bure.

Usipige simu utakesha. Waandikie email, wanajibu kwa haraka sana. Email inajibiwa chini ya dakika 5.
 
Wadau nina king'amuzi cha Cannal Plus, jmaa akinunuliq kongo na kimesajiliwa huko, sasa nashindwa kununua Airtime nikiwa hapa mpka nimtumie jamaa anunue akiwa kule, sasa imukuwa kero...nawezaje kununua Airtime kwa mitandao yetu?.

Lazima website yao itakua inaruhusu kufanya malipo kwa visa card hebu fatilia maana ni makaburu wale wako kiprofessional kama multichoice.
 
Back
Top Bottom