Mkuu siko safi sana kwa IT sasa sijaelewa hata nijibuje, ila imeandikwa digital control na ni sony
Lakini naona hata zingine hizi mpya kama TVI 119, ETV Telegu 724 na Rishtey Asia 754 zote zinazotangazwa katika Xtra Chanel zote hazipo kwenye menu ya list na hazijaingia bado
Asante mkuu zimekuja aisee, sante sana!