Azam Sports HD hi wapi?

Azam Sports HD hi wapi?

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,057
Reaction score
7,611
Jamani hii kwangu haionekani hata kwenye menu kuu haimo ..nauliza tunaipataje ama kwanza kulipia ndo iingizwe menu kuu? tafadhari!
 
Lakini naona hata zingine hizi mpya kama TVI 119, ETV Telegu 724 na Rishtey Asia 754 zote zinazotangazwa katika Xtra Chanel zote hazipo kwenye menu ya list na hazijaingia bado
 
Attachments

  • 1439644978669.jpg
    1439644978669.jpg
    90.2 KB · Views: 120
Lakini naona hata zingine hizi mpya kama TVI 119, ETV Telegu 724 na Rishtey Asia 754 zote zinazotangazwa katika Xtra Chanel zote hazipo kwenye menu ya list na hazijaingia bado

Hebu search upya channel zitakuja
 
Back
Top Bottom