Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Baada ya kuitazama Kwa makini mechi ya Yanga na Geita hapo Jana, niligundua ya kuwa Azam sports walifunga kamera upande wa magharibi tu wa uwanja na kufanya matukio makuu yasionekane Kwa ukaribu na usahihi.
Azam media ni kampuni kubwa sana kushindwa kuwa na vifaa vya kutosha ni aibu. Tafadhari sana Azam mbadirike na muweke kamera pande zote au kamera zenu ziweze kuturn 360 degrees.
Acheni ujanja janja. Nunueni na drone mbona zinauzwa bei rahisi tu.