Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
We ulikuwa unawaona benchi la ufundi Kwa usahihi, Ile 3D ya mkono uliosababisha penaiti uliweza kuiona?Tukio gani muhim hukuona?
Mkuu Kwa hiyo Azam wanataka kutuambia nani anayehusika na kufungua mitambo ya matangazo katika viwanja vya mikoani? Acheni upumbavu watu wanarusha matangazo clear kabisa kutoka porini huko leo kufunga kamera nani anahusika Kama siyo Azam wenyewe.Wakati mwingine jiridhishe kwanza kwa kufanya uchunguzi kwenye hizo mechi za Mikoani, ili uje na jibu sahihi! Na siyi kuangalia mechi moja tu, then unakuja na hitimisho.
Kwa hiyo wewe unaona ni sawa kisa ni viwanja vya mikoani. Katika malipo ya ving'amuzi vyao wateja wa mikoani Wana exceptional ukilinganisha na wale wa Dar es salaam? Acheni upumbavu.Wakati mwingine jiridhishe kwanza kwa kufanya uchunguzi kwenye hizo mechi za Mikoani, ili uje na jibu sahihi! Na siyi kuangalia mechi moja tu, then unakuja na hitimisho.
Mkuu Kwa hiyo Azam wanataka kutuambia nani anayehusika na kufungua mitambo ya matangazo katika viwanja vya mikoani? Acheni upumbavu watu wanarusha matangazo clear kabisa kutoka porini huko leo kufunga kamera nani anahusika Kama siyo Azam wenyewe.
Basi sawa. Watafanyia kazi haya malalamiko yako bila shaka.Kwa hiyo wewe unaona ni sawa kisa ni viwanja vya mikoani. Katika malipo ya ving'amuzi vyao wateja wa mikoani Wana exceptional ukilinganisha na wale wa Dar es salaam? Acheni upumbavu.