Azam tatizo la kukabia macho ni kubwa mno

Azam fighting spirit yao ipo chini mnoooo!!

Yaani wameridhika mno kama wanacheza mpira kujifurahisha na sio kazi...
Uwezo wanao ila fighting spirit ni ndogo hata yanga mwanzo ilikuwa hovyo wamebadilika kidogo kipindi cha pili ikaonekana kabisa pengo la yao attohoula na moloko nilikuwa nawaambia wadau
 
Azam ni timu ndogo sana inayojitutumua kuzikamia timu kubwa kwa viahadi vya pesa.

Azam haikuwaheshimu Yanga kama ni timu kubwa. walicheza kama wanalingana makamo.

Azam haina ubavu wa kuifunga Yanga.
 
Uwezo wanao ila fighting spirit ni ndogo hata yanga mwanzo ilikuwa hovyo wamebadilika kidogo kipindi cha pili ikaonekana kabisa pengo la yao attohoula na moloko nilikuwa nawaambia wadau
je yao angelikuwepo?
 
unaweza fiiria kuwa hawakuwa na akili hiyo au walipenda fanya hivyo. Jiulize kwa nini mechi na simba wanakuwa moto na wanashinda? shida wachezaji wa yanga ni kiwango kingine hivyo ukienda kichwa kichwa unaishia aibika ndiyo maana walikuwa wanaenda kwa tahadhari.Azizi K pekee ni mgumu kumkaba kutokana na skills na nguvu, akili .
 
Kwa staili ile ya wachezaji wa azam kukabia macho na kucheza kama wamelazimishwa nakuhakikishia hawashindi hta mechi moja ya mapacha wa kkoo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…