Azam tatizo la kukabia macho ni kubwa mno

Azam tatizo la kukabia macho ni kubwa mno

Azam fighting spirit yao ipo chini mnoooo!!

Yaani wameridhika mno kama wanacheza mpira kujifurahisha na sio kazi...
Uwezo wanao ila fighting spirit ni ndogo hata yanga mwanzo ilikuwa hovyo wamebadilika kidogo kipindi cha pili ikaonekana kabisa pengo la yao attohoula na moloko nilikuwa nawaambia wadau
 
Azam ni timu ndogo sana inayojitutumua kuzikamia timu kubwa kwa viahadi vya pesa.

Azam haikuwaheshimu Yanga kama ni timu kubwa. walicheza kama wanalingana makamo.

Azam haina ubavu wa kuifunga Yanga.
 
Uwezo wanao ila fighting spirit ni ndogo hata yanga mwanzo ilikuwa hovyo wamebadilika kidogo kipindi cha pili ikaonekana kabisa pengo la yao attohoula na moloko nilikuwa nawaambia wadau
je yao angelikuwepo?
 
Nikiwa kama shabiki wa azam nimesikitishwa mno na perfomance ya timu yangu hasa kwenye ukabaji wa timu

Timu ya azam linapokuja suala la ukabaji ni wachezaji wachache sana wanaotimiza wajibu wao inavyotakiwa

Leo hii yanga wamepata alama tatu kwa sababu ya wachezaji wa azam kukosa nidhamu ya ukabaji

Hebu angalia yanga walivyokuwa wanafika kirahisi golini kwa azam bila kustruggle yaani wangekuwa makini wangeshinda hta goal saba

Azizi ki pekee yake alikuwa na short on target karibia saba alikuwa yupo huru mno shukrani kwa kipa vinginevyo leo ingekuwa aibu kubwa

Azam kuanzia mbele kwa dube, sopu sillah na feisal hawa wote walikuwa wanawasindikiza yanga kwenda golini kwao yaani hawakabi kabisa wanakabia macho

Leo kama azam angeshinda mpira ungekuwa haujatenda haki kabisa!!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
unaweza fiiria kuwa hawakuwa na akili hiyo au walipenda fanya hivyo. Jiulize kwa nini mechi na simba wanakuwa moto na wanashinda? shida wachezaji wa yanga ni kiwango kingine hivyo ukienda kichwa kichwa unaishia aibika ndiyo maana walikuwa wanaenda kwa tahadhari.Azizi K pekee ni mgumu kumkaba kutokana na skills na nguvu, akili .
 
Kwa staili ile ya wachezaji wa azam kukabia macho na kucheza kama wamelazimishwa nakuhakikishia hawashindi hta mechi moja ya mapacha wa kkoo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom