Azam tunasikia baridi huku kileleni, Kagera ikiwapendeza mfanyeni Yanga chochote tutalipa

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Wadau wa soka mpo vyema

Mimi kama msemaji wa Azam jamiiforum nawaambi uku kileleni mwa msimamo Kuna baridi sana.

Kama itawapendeza kagera leo fanyeni kitu kwa yanga ili tuendeles kusalia kileleni huku. Uwezo mnao nia mnayo na Ari mnayo

NAWAPENDA SANA WANA NKURUKUMBU KAGERA TEAM YANGU YA UTOTONI.
 
Iyo nafasi ya apo juu mwenyewe anafahamika, Azam msimu huu mjitahidi mkamate iyo nafasi ya pili mnatimu nzuri kuliko ya mbumbumbu fc tatizo lenu mnacheka sana na kima mwishowe uwa mnavuna Mabua.
Next round msibebwe tuwaoneshe
 
Wadau wa soka mpo vyema

Mimi kama msemaji wa Azam jamiiforum nawaambi uku kileleni mwa msimamo Kuna baridi sana.

Kama itawapendeza kagera leo fanyeni kitu kwa yanga ili tuendeles kusalia kileleni huku. Uwezo mnao nia mnayo na Ari mnayo

NAWAPENDA SANA WANA NKURUKUMBU KAGERA TEAM YANGU YA UTOTONI.
Wewe usijifiche kwenye kichaka cha Azam, wewe ni simba lia lia tunakujua umeona maji yamezidi unga umbumbuni boli la mgunda alitembei tena unatafuta pa kujifichia, alafu unawasakizia kagera mfupa uliokushinda wao watauweza? Pambanieni nafasi ya 3 wewe na Kmc iyo nafasi ya kwanza ina wenyewe wazee wa Tunisia
 
Mimi azam usinilazimishe kushabikia team zisizo na viwanja
 
Wadau wa soka mpo vyema

Mimi kama msemaji wa Azam jamiiforum nawaambi uku kileleni mwa msimamo Kuna baridi sana.

Kama itawapendeza kagera leo fanyeni kitu kwa yanga ili tuendeles kusalia kileleni huku. Uwezo mnao nia mnayo na Ari mnayo

NAWAPENDA SANA WANA NKURUKUMBU KAGERA TEAM YANGU YA UTOTONI.
Bado mnaendelea kutetemeka?
 
Azam ni tawi la mbumbumbu
Tutawapiga akili ziwakae
 
Back
Top Bottom