Mimi nmeshindwa nini?Usiwape mizigo mikubwa watoto. Wewe umeshindwa na kaka ako kolo kashindwa sasa mnamsakizia ndugu yenu mwingine ndio mnahisi ataweza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe usijifiche kwenye kichaka cha Azam, wewe ni simba lia lia tunakujua umeona maji yamezidi unga umbumbuni boli la mgunda alitembei tena unatafuta pa kujifichia, alafu unawasakizia kagera mfupa uliokushinda wao watauweza? Pambanieni nafasi ya 3 wewe na Kmc iyo nafasi ya kwanza ina wenyewe wazee wa TunisiaWadau wa soka mpo vyema
Mimi kama msemaji wa Azam jamiiforum nawaambi uku kileleni mwa msimamo Kuna baridi sana.
Kama itawapendeza kagera leo fanyeni kitu kwa yanga ili tuendeles kusalia kileleni huku. Uwezo mnao nia mnayo na Ari mnayo
NAWAPENDA SANA WANA NKURUKUMBU KAGERA TEAM YANGU YA UTOTONI.
Mimi azam usinilazimishe kushabikia team zisizo na viwanjaWewe usijifiche kwenye kichaka cha Azam, wewe ni simba lia lia tunakujua umeona maji yamezidi unga umbumbuni boli la mgunda alitembei tena unatafuta pa kujifichia, alafu unawasakizia kagera mfupa uliokushinda wao watauweza? Pambanieni nafasi ya 3 wewe na Kmc iyo nafasi ya kwanza ina wenyewe wazee wa Tunisia
Bado mnaendelea kutetemeka?Wadau wa soka mpo vyema