Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

Acha kulia lia mtoto wa kiume kuna channel ya mwamposa umo azam tv angalia
 
Lengo dsiyo kuangali channel zingine wange Seema tu "tunawatakia watuzamaji wetu heri ya xmass na mwaka mpya


Mbna mo Salah alitwit kabsa merry xmass Ila waislamu walimjia juu Wala hakujali

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ushawahi kujiuliza kwa nini alijiwa juu na ushawahi kuona goli la simba likashangiliwa na Yanga jiongeze Chief...
 
Mtauana bure kwa imani za wazungu na waarabu😂😂
 
Tupo waislam tunatumia azam nyie nenden #Mnakera

Shule za seminary haijalish ni mwanafunz ni iman nyingine atalazimika aishi kikristo hili hamlioni.

Taasis ngap za kikristo first priority ya kupata ajira ni ukristo mfano bugando kcmc

Achen lawama za kiswahili. Yan nyie mnatak azam channels ziwawish kwa lazima serious ,nyie redio maria, tumain na TV zote za kikristo ushawaiona ziwawish waislam

Kuna watanzania kama mataila [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 

Sio huko tu,angali hata ajira nyingne kama udereva kama sio muislam basi ni muarabu.
Duh una ushahidi mkuu?
 
Hapana huu upumbavu Azam vameanza nao zamani sana sema wakristo wajinga sana, mimi niliona tangu zamani sana na never siwezi kuwa na dish Azam wala kuangalia Azam tv never.

Azam ni wadini tena ni fedheha kuangalia Azam
Sio lazima achaa.Siku channel za kikristo zikiwawish waislam idd njema nenda ukawambie azam wawawish na nyie
 
Unataka ushahidi gani?hiyo ndio sheria na inajurikana kuwa ni marufuku kwa mfanyakazi wa ITV kufunika kichwa chake anapo kuwa kazini ww kama hujui ni ww.

hebu nitajie angalau wafanyakazi 6 waislam ndani ya ITV au STarTV .
-sheria za ajira za Tanzania, zinapiga marufuku aina zote za ubaguzi eg Wa kidini, huyo mfanyakazi aliyekatazwa kufunika kichwa hatakiwi kuvua hijab yake, na pia Mimi siamini kama ndani ya ITV Kuna hiyo policy iliyoandikwa inazuia kuvaa hijabu Kwa sababu itakuwa inapingana na sheria ya ajira na mahusiano kazini.
 
Azam wanajitahidi sana, wao pekee wameweka upendo channel bure yaani hata Kama hujalipia king'amuzi. Ni hatua kubwa, halafu swala la ajira ungekuwa wewe usingeweka ndugu zako? Yeye ndugu zake waarabu, kwa hio ukiwaona pale ni shida? Mkristo unategemea kuajiliwa na wengine, kwa nini usijiajili au wewe kuajili wengine. Biblia inasema tumeitwa tusiwe watumwa wa wanadamu. We unapenda kuwa kijakazi/kitumwa Cha mwarabu?
 
Acha ujinga wewe, na maimaini yako hayo, we ni Mkristo wa ajabu kweli. Wacha udini pumbawe.
 
watoto mliozaliwa 2000 /wanyoa viduku, wavaa vinjunga mna matatizo sana. haya uliyoandika unajua madhara yake kwa umoja wetu kama watanzania? acheni ujinga nyie watu
ungeanza na kuwaambia azam waache ubaguzi kwanza tatizo lenu mkifanya nyie mnaona sawa na kawaida ila ukiambiwa ukweli mnareact....sijazaliwa 2000
 
ITV kuna mpaka na sheria ya kukataza wanawake walio ajiliwa hapo kuvaa hijabu mbona hujawahi kuja hapa kubwabwaja kuhusu hilo?
anaongelea alichokiona azam unaleta malinganisho na ITV kutaka tu kutetea ujinga
 
aliekwambia wakristu wanalazimisha uhusiano na waislamu ni nani?????????

unajua walichonacho wakristu wewe🙁?????walichonacho ni kikubwa wala hawahitaji uhusiano wowote ,hoja hapa ni ubaguzi usio na tija hivi unadhani na wakristu wangeamua kubagua na kutotumia hayo mabidhaa ya azam mo sijui azania hali ingekuwaje???? ila kwa sababu udini hautuchukulii muda maisha yanasonga mngekuwa nyie na roho zenu za kimaskini mngepata shida sana.
 
Nyie watu ni Imani zetu msituharibie nchi kwa Imani zenu zilizokuja na Meli...

Kuna choice ukiona mtu anakuzingua nenda pengine yaani, Sasa unadhani na Hindus, Rastafarian, Wapagani na wanaofuata mizimu ya mababu zetu nao waanze kulalamika
 
Ila ndugu zangu wakiristu mbona huwa hamtukaribishi kwenye sikukuu zenu tofauti na sisi?
 
Acha upumbavu kama ITV wanafanya na unaona kawaida kwa nn iwe ajabu kwa Azam?
mpumbavu ni wewe unaefananisha vitu visivyofanana,mtoa mada anazungumzia kitu kingine wewe unaleta habari za kuvaa hijab na nyie tukiwaendekeza mtatuvalia makanzu yenu hadi sehemu zisizostahili tutaendelea kukaza mpaka akili ziwakae sawa.
 
Ndo maana Baraka Mpenja Na Paschal Kabombe wanalazimishwa waanze na salamu ya "Assalama aleko" wakiwa wanaanza kutangaza mpira
Mzee siyo kweli, sema kiswahili kilikupiga chenga darasani labda.
Au huelewi hii salaam alaykum unamaana gani.
 
Acha kutumia mfe njaa ww na familia yako mjinga mmoja ww kwani umeshikiwa bunduki kununua?
Sasa unapo mlazimisha mwislamu akuwish krismas ambayo kwa mujibu wa imani yake ni haramu uoni kama unakuwa umesha mlazimisha ahamini unacho kuamini ww?
Mnalazimisha waislam wawapende hali ya kuwa nyinyi mnawachukia?

Yaani nyinyi wagaratia mnajipa umuhimimu ndani ya nchi hii utadhani labda mna hati miliki ya nchi hii.

Kwenye taasisi zenu mmejazana nyinyi tu mpaka serikalini mmejazana nyinyi tu na sasa mnataka mjazane kwenye taasisi za waislam ?
Hebu nitajie waislam angalau watano walio ajiliwa StarTV au ITV ambazo zina milikiwa na wakristo wenzako ambao sio wabaguzi, takataka kabisa ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…