Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika.

Lakin kwa masikito makubwa hii media sio mara ya kwanza kufanya hivi ila kipind hiki Azam tv wameonesha wazi wazi ubaguzi wa kuonesha hawapendi /kuheshimu Iman za wakristo.

Msimu huu wa xmass wametuoneshea dharau na ubaguzi wa wazi kabisa yaani Azam Tv Wanasahau Kama Wateja Na Watangazaji Wao Wengine Ni Wakristo Wanaogopa Kutamka na Kuandika Neno 'Christmas' azamtvtz

Mnatubagua Sisi Wateja Wenu Sababu Ya Ukristo Wetu!?[emoji26][emoji1745] Hii jambo ni la ovyo sana na baada ya hili tazama hata hizo tamthilia zao nyingi AZAM TWO zimekaa kidini katika mwelekeo wa kuponda ukristo na kutukuza dini Yao.

Na hata wafanyakazi wao huko Azam Media wapeana ajira kiubaguzi na wakristo waliopo ni wale wenye kipaji haswa yaani sio wa kubahatisha.
Hilo na mm nililiona nikitaka kabsa kuanzisha Uzi juu ya kile ulichosema ,kuwa hawataki kuandika neno Chrismass katk television Yao

Utasiki wakisema tunawatakia watanzani siku kuu njema bill kutaja chrismass sijui wako VIP wameniudhi Kweli nikaona Hawa wanna udini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hapana huu upumbavu Azam vameanza nao zamani sana sema wakristo wajinga sana, mimi niliona tangu zamani sana na never siwezi kuwa na dish Azam wala kuangalia Azam tv never.

Azam ni wadini tena ni fedheha kuangalia Azam
Uko sahhi Sana ingekuta siyo kuniteka kwenye ligi kuu kamwe wasingenipata maisha Yao yote

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Azamu wanazingua Sana na kinga'amuzi Chao Wana udini Sana. Mi juzi kati nilikuwa naangalia Utv sikuona merry Christmas nikaachana na lichanel lao nikatune zangu arise and shine nikaendelea kula zangu shuhuda
 
Weka Chanel za kikristo zipo nyingi tu ndan ya Azam Tv kwenye hizo channel utakutana na merry krismass nyingi sasa we weka Tv Iman alaf uje useme unabaguliwa kwasababu hujaona merry krismass kumbe matatizo ni yako mwenyewe
Lengo dsiyo kuangali channel zingine wange Seema tu "tunawatakia watuzamaji wetu heri ya xmass na mwaka mpya

Mbna mo Salah alitwit kabsa merry xmass Ila waislamu walimjia juu Wala hakujali

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mnajali sana mambo madogo madogo ambayo hayana MAANA YEYOTE...kwahiyo tatizo lako ni Merry Christmas wishes tu??Mimi mkristo but trust me hata azam TV waweke kaswida au mahubiri ya mashekhe wao kabla ya mechi sitolaumu,si ndio dini ya mwenye kituo??vibaya kufundisha??kibaya ungekua anaponda dini ya watu wengine,acha malalamiko Mkuu,kuna jamaa yetu alituchukia kisa hatujaenda kwenye mahafali yake...ndio haya sasa... Or nimesahau weka wasafi wana jingle's kibao za Xmass
 
Azam mna wasingizia tu wanajitahidi sana kuwawish wakristo kwenye sikukuu yao pendwa ya x-Mass mpeni sifa zake banah na sio kumtusi vikali
 
Wasomi mmevurugwa nini tena huko [emoji1787][emoji1787]
 
Mleta mada unaonekana una stress za maisha,kulalamika vitu vidogo sio tiba,pambana umalize shida zako,ukiwa free kila kitu utakiona ni poa tu ila ukiwa na stress kila kitu utakiona ni kero,kila mtu utaona anakubagua.
 
Wewe mleta mada Acha kulialia azam kama hajakuwish krismas mi yeye mbona channel za kikristo zipo si uangalie kwanini usiangalie itv na channel nyengine ambazo wanawish krismas....na wewe kama vipi anzisha channel yako
 
Hapana huu upumbavu Azam vameanza nao zamani sana sema wakristo wajinga sana, mimi niliona tangu zamani sana na never siwezi kuwa na dish Azam wala kuangalia Azam tv never.

Azam ni wadini tena ni fedheha kuangalia Azam
mutapata pressure kwa roho mbaya kwa vile mtu fulani amepata maendeleo.

poleni sana
 
Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika.

Lakin kwa masikito makubwa hii media sio mara ya kwanza kufanya hivi ila kipind hiki Azam tv wameonesha wazi wazi ubaguzi wa kuonesha hawapendi /kuheshimu Iman za wakristo.

Msimu huu wa xmass wametuoneshea dharau na ubaguzi wa wazi kabisa yaani Azam Tv Wanasahau Kama Wateja Na Watangazaji Wao Wengine Ni Wakristo Wanaogopa Kutamka na Kuandika Neno 'Christmas' azamtvtz

Mnatubagua Sisi Wateja Wenu Sababu Ya Ukristo Wetu!?[emoji26][emoji1745] Hii jambo ni la ovyo sana na baada ya hili tazama hata hizo tamthilia zao nyingi AZAM TWO zimekaa kidini katika mwelekeo wa kuponda ukristo na kutukuza dini Yao.

Na hata wafanyakazi wao huko Azam Media wapeana ajira kiubaguzi na wakristo waliopo ni wale wenye kipaji haswa yaani sio wa kubahatisha.
nawachukia sana watu wanaojadili mambo ya kidini.sana
hata Rwanda mambo yalianzishwa na wapuuzi kama mtoa mada, haya Azam wamekubagua siku haijaisha mpaka uandike upuuzi wako wa udini humu?
 
Waislamu ni wabaguzi naturally ifike hatua wakristu waachane na mambo yao yani kama wewe ni mkristu do not buy azam dish etc etc kama wao wanavyobagua na wakristo waanze kuwabagua na wakati wa sherehe zao zile wakristu jitahidini sana kutokuvaa kanzu na barakashia na hijab zao kuonyesha hatuhusudu mambo yao iwe ngoma droo wamezidi sana kujiona bora wakati hawana lolote
watoto mliozaliwa 2000 /wanyoa viduku, wavaa vinjunga mna matatizo sana. haya uliyoandika unajua madhara yake kwa umoja wetu kama watanzania? acheni ujinga nyie watu
 
Mimi Bakhresa navyomkubali naona anafaa hata miradi mingi ya nchi hii aiendeshe tu. I don't care hata akiwapendelea wapemba wenzie. Charity begins at home.
Watu weusi ni watu wa kulialia na kumind vitu vidogovidogo.
Japo, kama ningekua mimi Bakhresa ningeruhusu wafanyakazi wangu wakristo watoe wishes za Xmass. Kwa waislam it is forbidden, tuheshimu imani yao. Na hata kusheherekea Idd na sikukuu zao kama ukristo unakataza, hata wao wataheshimu hilo. Ni mambo rahisi sana. Mambo mengine wote tunaruhusiwa kuchangamana bila shida. Tusikuze mambo sana.
 
Back
Top Bottom