Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika.

Lakin kwa masikito makubwa hii media sio mara ya kwanza kufanya hivi ila kipind hiki Azam tv wameonesha wazi wazi ubaguzi wa kuonesha hawapendi /kuheshimu Iman za wakristo.

Msimu huu wa xmass wametuoneshea dharau na ubaguzi wa wazi kabisa yaani Azam Tv Wanasahau Kama Wateja Na Watangazaji Wao Wengine Ni Wakristo Wanaogopa Kutamka na Kuandika Neno 'Christmas' azamtvtz

Mnatubagua Sisi Wateja Wenu Sababu Ya Ukristo Wetu!?[emoji26][emoji1745] Hii jambo ni la ovyo sana na baada ya hili tazama hata hizo tamthilia zao nyingi AZAM TWO zimekaa kidini katika mwelekeo wa kuponda ukristo na kutukuza dini Yao.

Na hata wafanyakazi wao huko Azam Media wapeana ajira kiubaguzi na wakristo waliopo ni wale wenye kipaji haswa yaani sio wa kubahatisha
Mbona tumenyanyasika miaka mingi sana na ITV
 
Muhammad alisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa ya njia (mtaroni).
Sahih Muslim 2167
Muongo ww.....acha uongo haikusaidii kitu dogo
 
Ni kweli, sikukuu za kikristo wanakwepa dhahiri ila za dini yao sasa! Tukiamua kila mmiliki wa chombo cha habari kisicho cha kidini apendelee dini yake.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
WAKRISTO wana amini YESU ni mungu kwao.... WAISLAM hilo hawalikubali kwamba YESU ni Mungu na nikosa kubwa Kwa imani yao kumshirikishi MMUNGU na kiumbe aliye kiumba kwahiyo hawana kosa kwa Imani yao.

Kwahiyo hata wewe unaweza kuto shiriki kwenye sikuku zao utakuwa huna kosa kutokana na imani yako na ndio maana XMAS sio NCHI zote zinasherehekea tarehe 25th December kuna Nchi zingine January zingine mwezi April na hawana kosa kutokana na Imani zao kubwa ni kuheshimiana basi.
 
Muongo ww.....acha uongo haikusaidii kitu dogo
Sio Mimi muongo sema waislamu na sahih Muslim ni waongo , sio Mimi nimeandika ni nyie

Muhammad alisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa ya njia (mtaroni).
Sahih Muslim 2167
 
Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika.

Lakin kwa masikito makubwa hii media sio mara ya kwanza kufanya hivi ila kipind hiki Azam tv wameonesha wazi wazi ubaguzi wa kuonesha hawapendi /kuheshimu Iman za wakristo.

Msimu huu wa xmass wametuoneshea dharau na ubaguzi wa wazi kabisa yaani Azam Tv Wanasahau Kama Wateja Na Watangazaji Wao Wengine Ni Wakristo Wanaogopa Kutamka na Kuandika Neno 'Christmas' azamtvtz

Mnatubagua Sisi Wateja Wenu Sababu Ya Ukristo Wetu!?[emoji26][emoji1745] Hii jambo ni la ovyo sana na baada ya hili tazama hata hizo tamthilia zao nyingi AZAM TWO zimekaa kidini katika mwelekeo wa kuponda ukristo na kutukuza dini Yao.

Na hata wafanyakazi wao huko Azam Media wapeana ajira kiubaguzi na wakristo waliopo ni wale wenye kipaji haswa yaani sio wa kubahatisha
Tatizo la wakristo wanaona kila kitu wanastahili wao ila waislamu wao wanamuachia mungu hakuna watu wanaopendelewa kama wakristo Tanzania sema tu kwasababu waislamu wanasema malipo duniani akhera kwenda hesabu.
 
Si mlisema nyie hamna mambo ya kulalamika vitu hivyo munawaachia wavaa kobazi ?

Sasa cha kushangaa jukwaa hili zimefunguliwa nyuzi zaidi ya mbili kusuhu swala hili na haijaisha hapo hadi jukwaa la michezo kuna uzi wa malalamiko eti "Azam tivii Yanga au Simba ikicheza Camera ikionyesha upande wa mashabiki inawachukuua waislamu pekee kwa uzito " mnakwenda wapi kama vipi Moderator na JamiiForums iwafungulie jukwaa lenu kwa ajili ya malalamiko.
 
Hapana huu upumbavu Azam vameanza nao zamani sana sema wakristo wajinga sana, mimi niliona tangu zamani sana na never siwezi kuwa na dish Azam wala kuangalia Azam tv never.

Azam ni wadini tena ni fedheha kuangalia Azam
Kaka ni sawa na kuweka bifu na ronaldo
 
Hawa jamaa Wana mbegu za kibaguzi sana,hii decoder yao ntaitia Moto siku si nyingi ,hata kwenye ajira zao na makampuni yao hili lipo sana .Kama wakrusto wapo Ni asilimia 2
Itv na startv zinazo milikiwa na wakristo wenzako zimeajili waislam wangapi.

Tena ITV wameenda mbali zaidi kwa kuweka sharti la kutovaa hijabu kwa mwanamke wa kiislam anayekaka kuajiliwa hapo.
 
Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika.

Lakin kwa masikito makubwa hii media sio mara ya kwanza kufanya hivi ila kipind hiki Azam tv wameonesha wazi wazi ubaguzi wa kuonesha hawapendi /kuheshimu Iman za wakristo.

Msimu huu wa xmass wametuoneshea dharau na ubaguzi wa wazi kabisa yaani Azam Tv Wanasahau Kama Wateja Na Watangazaji Wao Wengine Ni Wakristo Wanaogopa Kutamka na Kuandika Neno 'Christmas' azamtvtz

Mnatubagua Sisi Wateja Wenu Sababu Ya Ukristo Wetu!?[emoji26][emoji1745] Hii jambo ni la ovyo sana na baada ya hili tazama hata hizo tamthilia zao nyingi AZAM TWO zimekaa kidini katika mwelekeo wa kuponda ukristo na kutukuza dini Yao.

Na hata wafanyakazi wao huko Azam Media wapeana ajira kiubaguzi na wakristo waliopo ni wale wenye kipaji haswa yaani sio wa kubahatisha
Mbona hakuna ubaguzi hapo, yani kutoaandika Krisimasi ndio ubaguzi? Labda una lingine, mm Mkristo lakini sioni ubaguzi kabisa
 
Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika.

Lakin kwa masikito makubwa hii media sio mara ya kwanza kufanya hivi ila kipind hiki Azam tv wameonesha wazi wazi ubaguzi wa kuonesha hawapendi /kuheshimu Iman za wakristo.

Msimu huu wa xmass wametuoneshea dharau na ubaguzi wa wazi kabisa yaani Azam Tv Wanasahau Kama Wateja Na Watangazaji Wao Wengine Ni Wakristo Wanaogopa Kutamka na Kuandika Neno 'Christmas' azamtvtz

Mnatubagua Sisi Wateja Wenu Sababu Ya Ukristo Wetu!?[emoji26][emoji1745] Hii jambo ni la ovyo sana na baada ya hili tazama hata hizo tamthilia zao nyingi AZAM TWO zimekaa kidini katika mwelekeo wa kuponda ukristo na kutukuza dini Yao.

Na hata wafanyakazi wao huko Azam Media wapeana ajira kiubaguzi na wakristo waliopo ni wale wenye kipaji haswa yaani sio wa kubahatisha
Ni ulimbukeni tu achana nao, hata wasipomtaja Yesu iko siku watalazimika tu kufanya hivyo
 
Mjinga gani alikwambia Mungu anazaliwa?
Nyingi si mnasema Yesu ni Mungu ? kwani Christmas ni sherehe ya kuzaliwa nani ? au Stress Challenger ?
IMG_20221229_121526.jpg
 
Weka ushahidi hapa Wacha kubwabwaja, hao Azam ushahidi upo wazi kabisa angalia ule mtangazo wao wa sukari na ice cream full ubaguzi.
Unataka ushahidi gani?hiyo ndio sheria na inajurikana kuwa ni marufuku kwa mfanyakazi wa ITV kufunika kichwa chake anapo kuwa kazini ww kama hujui ni ww.

hebu nitajie angalau wafanyakazi 6 waislam ndani ya ITV au STarTV .
 
Nyingi si mnasema Yesu ni Mungu ? kwani Christmas ni sherehe ya kuzaliwa nani ? au Stress Challenger ?View attachment 2462029
Mungu wa wakristo ni Roho , Yesu ni human flesh iliyotumiwa , human flesh ndio ilizaliwa

1 Timothy 3:16
And without controversy great is the mystery of godliness: God was manifest in the flesh, justified in the Spirit, seen of angels, preached unto the Gentiles, believed on in the world, received up into glory.
 
Sio huko tu,angali hata ajira nyingne kama udereva kama sio muislam basi ni muarabu.
Wakristo hamjiamini ndio shida yenu. Huko serikalini mnawaambia waislamu hawajsoma ndio maana hawaajiriki kwa wingi, wakaamua kuwaachia nyie na wao kujifungulia biashara zao ambazo hazihitaji "usomi" bado mnataka wawaajiri nyie?? Komaeni kutafuta thamani ya X ili muajiriwe serikalini na sie tutakomaa na madrasa zetu ili tuajiriwe Bakhresa, full stop.
 
Ukiona watu kama hao usiendelee mijadala nao hata umueleweshe vipi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu wakumpuuza tu .
Sio Mimi nilie andika Sahih Muslim ni nyie waislamu, kama vipi kamchinjeni Alie andika kama yupo

Muhammad alisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa ya njia (mtaroni).
Sahih Muslim 2167
 
Unataka ushahidi gani?hiyo ndio sheria na inajurikana kuwa ni marufuku kwa mfanyakazi wa ITV kufunika kichwa chake anapo kuwa kazini ww kama hujui ni ww.

hebu nitajie angalau wafanyakazi 6 waislam ndani ya ITV au STarTV .
Weka hiyo Sheria unayosema hapa sisi hatuijui..
 
Nitajie wafanya kazi angalau watano waislam walio ajiliwa StarTV au ITV acha kuzunguka.
Kuhusu hiyo sheria uliza hata wagaratia wenzio wanajua sana juu ya hiyo sheria.
 
Back
Top Bottom