Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

Duuuuh haaa haaaa ama kweli nyakati zinabadilika leo hii mpira umebadilika enzi za Waislamu kulalamika kuwa wanabaguliwa kwenye mitihani ya taifa na kwenye ajira serikalini imeisha leo wakiristo nao wanalalamika kuajiliwa kwenye private sector za Waislamu..... Ama kweli dunia hii subra inahitajika..
Hivi ikiwa kila muumini ashinikize channel husika ioneshe kile anachokiamini sidhani kama kutakuwa na radha ya kutazama kuna mabudha, Mabanyani, Wahindu, Wayahudi, Washinto waabudu uchi wa mwanamke.... N. k
Hivi kwanini tunakemea udini bila kujua mipaka ya dini na hili linatokana na baadhi ya dini kutofunzwa vizuri imani zao wakashindwa kuamini imani za wenzio
 
Hawa jamaa Wana mbegu za kibaguzi sana,hii decoder yao ntaitia Moto siku si nyingi ,hata kwenye ajira zao na makampuni yao hili lipo sana .Kama wakrusto wapo Ni asilimia 2
 
King'amuzi cha Uswazi, wewe umekinunua cha nini? Hama level mkuu mwaka ndio huo unaanza, angalia watu wenye Azam TV wanafananaje wengi wao....waswahili swahili
 
Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika.

Lakin kwa masikito makubwa hii media sio mara ya kwanza kufanya hivi ila kipind hiki Azam tv wameonesha wazi wazi ubaguzi wa kuonesha hawapendi /kuheshimu Iman za wakristo.

Msimu huu wa xmass wametuoneshea dharau na ubaguzi wa wazi kabisa yaani Azam Tv Wanasahau Kama Wateja Na Watangazaji Wao Wengine Ni Wakristo Wanaogopa Kutamka na Kuandika Neno 'Christmas' azamtvtz

Mnatubagua Sisi Wateja Wenu Sababu Ya Ukristo Wetu!?[emoji26][emoji1745] Hii jambo ni la ovyo sana na baada ya hili tazama hata hizo tamthilia zao nyingi AZAM TWO zimekaa kidini katika mwelekeo wa kuponda ukristo na kutukuza dini Yao.

Na hata wafanyakazi wao huko Azam Media wapeana ajira kiubaguzi na wakristo waliopo ni wale wenye kipaji haswa yaani sio wa kubahatisha
Mimi kama Mkristo, na kuwa Makini na kila ninachokiona kina madhara ktk Imani yangu, azam ni moja ya station singaliiiii kabisaaa, shine and rise TV.. marufuku nk😁😁
 
Ile tamthilia imekaa kijinga Sana na ipo kimkakati sana
Kwa hiyo historia tuliyofundishwa A level kuhusu Rise and fall of Ottoman Empire ipo kimkakati? Hivi vitu vimeshabihiana tofauti ni medium, moja ni written na nyingine ni audiovisual..hisia za udini sio poa,be positive minded utafanikiwa.
 
Jana wamerusha matangazo Yao ya sukari wanasema heri ya msimu wa sikukuu na mwaka mpya, aisee walinibioa mbaya hapa naenda kuchukua dstsv upuzi mtupu.
 
ITV kuna mpaka na sheria ya kukataza wanawake walio ajiliwa hapo kuvaa hijabu mbona hujawahi kuja hapa kubwabwaja kuhusu hilo?
Weka ushahidi hapa Wacha kubwabwaja, hao Azam ushahidi upo wazi kabisa angalia ule mtangazo wao wa sukari na ice cream full ubaguzi.
 
Sio huko tu,angali hata ajira nyingne kama udereva kama sio muislam basi ni muarabu.
 
Qur an inamajibu mazuri sana aisee...tupate kidogo neno la Mungu

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا بِطَانَةً مِّن دُونِكُمْ لَا يَأْلُونَكُمْ خَبَالًا وَدُّوا مَا عَنِتُّمْ قَدْ بَدَتِ الْبَغْضَاءُ مِنْ أَفْوَاهِهِمْ وَمَا تُخْفِي صُدُورُهُمْ أَكْبَرُ ۚ قَدْ بَيَّنَّا لَكُمُ الْآيَاتِ ۖ إِن كُنتُمْ تَعْقِلُونَ

[ AL I'MRAN - 118 ]
Enyi mlio amini! Msiwafanye wasiri wenu watu wasio kuwa katika nyinyi. Hawataacha kukufanyieni ubaya. Wanayapenda yanayo kudhuruni. Imekwisha fichuka chuki yao katika midomo yao. Na yanayo ficha vifua vyao ni makubwa zaidi. Tumekwisha kubainishieni Ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini.
 
Koran 5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki......
 
Azam Tv,Tumaini Tv, Agape, ITV nk. ni stations za watu binafsi,kila kituo kina utaratibu wa matangazo yake na imani yake, hauwezi kulazimisha au kulaumu kwa kuwa tu "haukuwishiwa"; sijawahi kusikia wasio wakristo wakilalamikia Tv Tumaini au Upendo nk. Ukiona station fulani zinakuboa unahama, au nunua dstv humo ma-wishes kama yote mpaka february huko unawishiwa tu..tena umesema wewe ni mdau wa michezo,fuata michezo mengine achana nayo yatakupa stress tu.
Mbona hujataja Iman tv, Kuna tv ambazo zenyewe ni za dini full mfano tv tumain, upendo, tv Iman n.k, Azam na chanel zake sio zadini labda atutangazie kuanzia Leo niza dini Ili tujue ni maalumu kwa watu fulani.
 
Kuwish hiyo Mery X-Mas na kufurahia , ni sawa na kusherekea basidei eti Mungu anazaliwa jambo ambalo ni kufuru kubwa kutokana na dini yake kwani yeye anaamaini Mungu ni mmoja muumba wa vyote hajazaa wala hajazaliwa , hana mwana na hakuna wakufananisha naye na ni yeye tu ndiye anayepaswa kuabudiwa kwa haki.
 
Qur an inamajibu mazuri sana aisee...tupate kidogo neno la Mungu

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا بِطَانَةً مِّن دُونِكُمْ لَا يَأْلُونَكُمْ خَبَالًا وَدُّوا مَا عَنِتُّمْ قَدْ بَدَتِ الْبَغْضَاءُ مِنْ أَفْوَاهِهِمْ وَمَا تُخْفِي صُدُورُهُمْ أَكْبَرُ ۚ قَدْ بَيَّنَّا لَكُمُ الْآيَاتِ ۖ إِن كُنتُمْ تَعْقِلُونَ

[ AL I'MRAN - 118 ]
Enyi mlio amini! Msiwafanye wasiri wenu watu wasio kuwa katika nyinyi. Hawataacha kukufanyieni ubaya. Wanayapenda yanayo kudhuruni. Imekwisha fichuka chuki yao katika midomo yao. Na yanayo ficha vifua vyao ni makubwa zaidi. Tumekwisha kubainishieni Ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini.
Muhammad alisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa ya njia (mtaroni).
Sahih Muslim 2167
 
Umelipuka kifara sanaa tuliza akili, unapoishi umeweka mpaka au mna kisiwa cha waislamu na Kijiji chenu, tumia akili, acha akili za alcaida
Soma uelewe ww acha kukurupuka waislam waruhusiwa kushirikiana na watu wa dini nyingine kwenye masuala yote ya kijamii mfano biashara,misiba,harusi,siasa,kusaidiana yaani kila kitu kinacho husiana na jamii ila ni kitu kimoja ambacho hawaruhusu ni kushirikiana katika mambo ya kiimani.

Tushirikiane kwenye mambo mengine yote ila lanapo kuja kwenye suala la imani kila mtu afuate imani yake anayo iamini na sio kumlazimishana.
 
Kuwish hiyo Mery X-Mas na kufurahia , ni sawa na kusherekea basidei eti Mungu anazaliwa jambo ambalo ni kufuru kubwa kutokana na dini yake kwani yeye anaamaini Mungu ni mmoja muumba wa vyote hajazaa wala hajazaliwa , hana mwana na hakuna wakufananisha naye na ni yeye tu ndiye anayepaswa kuabudiwa kwa haki.
Mjinga gani alikwambia Mungu anazaliwa?
 
Back
Top Bottom