Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

Hapo unaitetea Azam au unaitafutia draw ya kimaudhui?
niitetee azam kwa lipi. Ni taasisi binafsi ya mtu na familia yake. Hata akiamua kupiga kaswida kutwa nzima ilimradi havunji sheria hakuna atakayemshtaki.

nimetoa mfano wa ITV maana wanaoilalamikia azam ni wakristo, kwa nini tuishambulie azam kwa uislamu wake na tusiishambulie itv ya mkristo mwenzetu, kwa upagani wake?
 
waislamu ni wabaguzi naturally ifike hatua wakristu waachane na mambo yao yani kama wewe ni mkristu do not buy azam dish etc etc kama wao wanavyobagua na wakristo waanze kuwabagua na wakati wa sherehe zao zile wakristu jitahidini sana kutokuvaa kanzu na barakashia na hijab zao kuonyesha hatuhusudu mambo yao iwe ngoma droo wamezidi sana kujiona bora wakati hawana lolote
Hata ngano zao tunazolia chapati maandazi tusinunue na bidhaa zao zote tuziache,kumkwepa bakhresa mbongo ni kujidanganya tu utakufa njaa week utoboi
 
Naona sio tatizo, labda umechagua kuangalia baadhi ya channels, kuna channels zaidi ya 3 za dini ya kikristo 24/7 wanaweka maudhui ya kikristo, kuna upendo na nyengine.

Pia wanatoa salamu za xmas ktk baadhi ya vipindi pia logo yao imewekewa alama ya xmas.
 
Weka Chanel za kikristo zipo nyingi tu ndan ya Azam Tv kwenye hizo channel utakutana na merry krismass nyingi sasa we weka Tv Iman alaf uje useme unabaguliwa kwasababu hujaona merry krismass kumbe matatizo ni yako mwenyewe
 
Hapana huu upumbavu Azam vameanza nao zamani sana sema wakristo wajinga sana, mimi niliona tangu zamani sana na never siwezi kuwa na dish Azam wala kuangalia Azam tv never.

Azam ni wadini tena ni fedheha kuangalia Azam
Mimi ile thamthilia ya Ottoman empire waliocheza waturuki ilinipa muongozo mzima wa hiyo kampuni lakini wanna haji sababu dunia uwanja mpana
 
Hapana huu upumbavu Azam vameanza nao zamani sana sema wakristo wajinga sana, mimi niliona tangu zamani sana na never siwezi kuwa na dish Azam wala kuangalia Azam tv never...
Mimi ile thamthilia ya Ottoman empire waliocheza waturuki ilinipa muongozo mzima wa hiyo kampuni lakini wanna haji sababu dunia uwanja mpkila.

ITV kuna mpaka na sheria ya kukataza wanawake walio ajiliwa hapo kuvaa hijabu mbona hujawahi kuja hapa kubwabwaja kuhusu hilo?
Kila mwamba ngoma huvutia kwake😂😂😂😂😂
 
waislamu ni wabaguzi naturally ifike hatua wakristu waachane na mambo yao yani kama wewe ni mkristu do not buy azam dish etc etc kama wao wanavyobagua na wakristo waanze kuwabagua na wakati wa sherehe zao zile wakristu jitahidini sana kutokuvaa kanzu na barakashia na hijab zao kuonyesha hatuhusudu mambo yao iwe ngoma droo wamezidi sana kujiona bora wakati hawana lolote
Mna huo ubavu nyie marofa na msio kuwa na akili ? Kila saa kuwaza udini tu.

Usipo nunua bidhaa za Azam basi utanunua bidhaa za Mo, Azania au jambo ambazo ni kampuni zinazo milikiwa na waislam kwa hiyo hapo utakuwa umekwepa nn?

Hivi kwa nn mnalazimisha uhusiano wa kiimani na waislam?kakuna uhusiano wowote wa kiimani kati ya Ukristo na uislamu hivyo kila mtu afuate dini yake acheni chochoko za kipuuzi.

Waislam wanaruhusiwa kushirikiana na watu wa imani nyingine kwenye mambo yote ya kijamii lakini kwenye masuala ya imani yao ni hakuna.

Kuhusu kuajili mbona taasisi zinazo milikiwa na wakristo wenzio mmejazana nyinyi tu na waislam ni wa kuhesabu?
Tena kama ITV sharti la mwanamke wa kiislam kuajiliwa hapo ni akubali kutovaa hijabu.
 
Huna Dstv bana ungekua nayo usinge angaika na kutoa lawama za vtu vdg km ivyo

Ef pia enjoy maisha km Azam tv haikizi vingezo vyako why ulalamike na kusingizia dini si uachane nayo tu kwa aman

Tusipende sana kutumia karata ya Udini km watu weusi tulivyozoea kutumia karata ya ubaguzi kuonewa huruma
 
Mbona haujawahi kupongeza channel zaidi ya 20 za kikristo zinazooneshwa bure mwaka mzima unakuja kulalamika kutotakiwa heri ya xmas mwisho wa mwaka??
Mzee hizo media za dini zipo hata DStv na ni sehemu ya biashara na pia hata sheria inawataka hivyo
 
Mna huo ubavu nyie marofa na msio kuwa na akili ? Kila saa kuwaza udini tu.

Usipo nunua bidhaa za Azam basi utanunua bidhaa za Mo, Azania au jambo ambazo ni kampuni zinazo milikiwa na waislam kwa hiyo hapo utakuwa umekwepa nini...
Umelipuka kifara sanaa tuliza akili, unapoishi umeweka mpaka au mna kisiwa cha waislamu na Kijiji chenu, tumia akili, acha akili za alcaida
 
Ni content nyingi mwamba nyakati za ramadhani contents za tamithilia hata za kibongo ni zao tu, yapo mengi sema wakristo wanajizima sana data nchi hii
Mimi nawashauri wanunue DSTV kwa mfano mimi nilipoonna siwaelewi Azam nilihama!!!!Na wao Azan wana haki ya kuweka chochote mradi hawavunji sheria!!!!Usipowaelewa unahama tu ni haki yako ila na wao wanna haki ya kuweka maudhui kutokana na imani yao hawavunji sheria
 
Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika...
Azam Tv,Tumaini Tv, Agape, ITV nk. ni stations za watu binafsi,kila kituo kina utaratibu wa matangazo yake na imani yake, hauwezi kulazimisha au kulaumu kwa kuwa tu "haukuwishiwa"; sijawahi kusikia wasio wakristo wakilalamikia Tv Tumaini au Upendo nk.

Ukiona station fulani zinakuboa unahama, au nunua dstv humo ma-wishes kama yote mpaka february huko unawishiwa tu..tena umesema wewe ni mdau wa michezo,fuata michezo mengine achana nayo yatakupa stress tu.
 
Back
Top Bottom