Gaganiga
Senior Member
- Nov 13, 2022
- 168
- 376
KabisaITV kuna mpaka na sheria ya kukataza wanawake walio ajiliwa hapo kuvaa hijabu mbona hujawahi kuja hapa kubwabwaja kuhusu hilo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaITV kuna mpaka na sheria ya kukataza wanawake walio ajiliwa hapo kuvaa hijabu mbona hujawahi kuja hapa kubwabwaja kuhusu hilo?
niitetee azam kwa lipi. Ni taasisi binafsi ya mtu na familia yake. Hata akiamua kupiga kaswida kutwa nzima ilimradi havunji sheria hakuna atakayemshtaki.Hapo unaitetea Azam au unaitafutia draw ya kimaudhui?
Kila siku asubuhi ITV wanapiga nyimbo za injili vp umekuja kukemea hilo? Acha udini,ushamba na uzwazwa fukara wa akili weNikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika...
Hata ngano zao tunazolia chapati maandazi tusinunue na bidhaa zao zote tuziache,kumkwepa bakhresa mbongo ni kujidanganya tu utakufa njaa week utoboiwaislamu ni wabaguzi naturally ifike hatua wakristu waachane na mambo yao yani kama wewe ni mkristu do not buy azam dish etc etc kama wao wanavyobagua na wakristo waanze kuwabagua na wakati wa sherehe zao zile wakristu jitahidini sana kutokuvaa kanzu na barakashia na hijab zao kuonyesha hatuhusudu mambo yao iwe ngoma droo wamezidi sana kujiona bora wakati hawana lolote
KabisaHata ngano zao tunazolia chapati maandazi tusinunue na bidhaa zao zote tuziache,kumkwepa bakhresa mbongo ni kujidanganya tu utakufa njaa week utoboi
Mimi ile thamthilia ya Ottoman empire waliocheza waturuki ilinipa muongozo mzima wa hiyo kampuni lakini wanna haji sababu dunia uwanja mpanaHapana huu upumbavu Azam vameanza nao zamani sana sema wakristo wajinga sana, mimi niliona tangu zamani sana na never siwezi kuwa na dish Azam wala kuangalia Azam tv never.
Azam ni wadini tena ni fedheha kuangalia Azam
Mimi ile thamthilia ya Ottoman empire waliocheza waturuki ilinipa muongozo mzima wa hiyo kampuni lakini wanna haji sababu dunia uwanja mpkila.Hapana huu upumbavu Azam vameanza nao zamani sana sema wakristo wajinga sana, mimi niliona tangu zamani sana na never siwezi kuwa na dish Azam wala kuangalia Azam tv never...
Kila mwamba ngoma huvutia kwake😂😂😂😂😂ITV kuna mpaka na sheria ya kukataza wanawake walio ajiliwa hapo kuvaa hijabu mbona hujawahi kuja hapa kubwabwaja kuhusu hilo?
Mna huo ubavu nyie marofa na msio kuwa na akili ? Kila saa kuwaza udini tu.waislamu ni wabaguzi naturally ifike hatua wakristu waachane na mambo yao yani kama wewe ni mkristu do not buy azam dish etc etc kama wao wanavyobagua na wakristo waanze kuwabagua na wakati wa sherehe zao zile wakristu jitahidini sana kutokuvaa kanzu na barakashia na hijab zao kuonyesha hatuhusudu mambo yao iwe ngoma droo wamezidi sana kujiona bora wakati hawana lolote
Ni content nyingi mwamba nyakati za ramadhani contents za tamithilia hata za kibongo ni zao tu, yapo mengi sema wakristo wanajizima sana data nchi hiiMimi ile thamthilia ya Ottoman empire waliocheza waturuki ilinipa muongozo mzima wa hiyo kampuni lakini wanna haji sababu dunia uwanja mpana
Mzee hizo media za dini zipo hata DStv na ni sehemu ya biashara na pia hata sheria inawataka hivyoMbona haujawahi kupongeza channel zaidi ya 20 za kikristo zinazooneshwa bure mwaka mzima unakuja kulalamika kutotakiwa heri ya xmas mwisho wa mwaka??
Umelipuka kifara sanaa tuliza akili, unapoishi umeweka mpaka au mna kisiwa cha waislamu na Kijiji chenu, tumia akili, acha akili za alcaidaMna huo ubavu nyie marofa na msio kuwa na akili ? Kila saa kuwaza udini tu.
Usipo nunua bidhaa za Azam basi utanunua bidhaa za Mo, Azania au jambo ambazo ni kampuni zinazo milikiwa na waislam kwa hiyo hapo utakuwa umekwepa nini...
Mzee Azam ni WA dini kupiga nyimbo za dini hicho ni kipind we falaKila siku asubuhi ITV wanapiga nyimbo za injili vp umekuja kukemea hilo? Acha udini,ushamba na uzwazwa fukara wa akili we
Mimi nawashauri wanunue DSTV kwa mfano mimi nilipoonna siwaelewi Azam nilihama!!!!Na wao Azan wana haki ya kuweka chochote mradi hawavunji sheria!!!!Usipowaelewa unahama tu ni haki yako ila na wao wanna haki ya kuweka maudhui kutokana na imani yao hawavunji sheriaNi content nyingi mwamba nyakati za ramadhani contents za tamithilia hata za kibongo ni zao tu, yapo mengi sema wakristo wanajizima sana data nchi hii
Azam Tv,Tumaini Tv, Agape, ITV nk. ni stations za watu binafsi,kila kituo kina utaratibu wa matangazo yake na imani yake, hauwezi kulazimisha au kulaumu kwa kuwa tu "haukuwishiwa"; sijawahi kusikia wasio wakristo wakilalamikia Tv Tumaini au Upendo nk.Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika...
Ile tamthilia imekaa kijinga Sana na ipo kimkakati sanaMimi ile thamthilia ya Ottoman empire waliocheza waturuki ilinipa muongozo mzima wa hiyo kampuni lakini wanna haji sababu dunia uwanja mpana