mkandu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 336
- 463
Duuuuh haaa haaaa ama kweli nyakati zinabadilika leo hii mpira umebadilika enzi za Waislamu kulalamika kuwa wanabaguliwa kwenye mitihani ya taifa na kwenye ajira serikalini imeisha leo wakiristo nao wanalalamika kuajiliwa kwenye private sector za Waislamu..... Ama kweli dunia hii subra inahitajika..
Hivi ikiwa kila muumini ashinikize channel husika ioneshe kile anachokiamini sidhani kama kutakuwa na radha ya kutazama kuna mabudha, Mabanyani, Wahindu, Wayahudi, Washinto waabudu uchi wa mwanamke.... N. k
Hivi kwanini tunakemea udini bila kujua mipaka ya dini na hili linatokana na baadhi ya dini kutofunzwa vizuri imani zao wakashindwa kuamini imani za wenzio