Kwani mmelazimishwa kununua?Wanajivua nguo, usitetee ujinga.
Kama wanajua watazamaji wao wana imani tofauti, hawatakiwi kuwabagua, wanachofanya ni ushamba na ubinafsi.
Vinginevyo wasiuze dikoda zao kwa wasio wa imani yao, lakini kama kwenye biashara wako tayari kupokea pesa ya yule asiye wa imani yao, lakini kwenye salamu hawataki kutoa salamu kwao, Azam ni washamba, na wasipoangalia kwa huu ujinga wao mbele ya safari utawa cost, mambo huanza taratibu.
Nafsi yako inajua ukweliinawapotosha kama inazungumzia mambo hayo na ndio mana mmepotoka kila kona na kuishia kuwa wabaguzi kwa kujiona inferior na mnaonewa kila wakati
Unaonekana wewe ni mshari.Umeenda kwa dini nyingine kutafuta nini? hiz wishes zote kutoka kwengine hazikukutosha mpaka unazitaka za dini nyingine.Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika...
Mkurugenzi wa hiyo tv ni TIDO MHANDO mromani lia lia,inamaana hajaona umuhimu wa kuwish hiyo mary christmass?? Au tatizo ni cha muislamu ndo manung'uniko hayaishi?Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika...
Hivi kuna watu wanaozifatilia kama waislamu kutwa kukosoa dini za wenzao na wao kujiona bora kumbe hamna kituWewe bado mdogo sana toka bwenini kwanza unapojifungia na wenzako kwenye cube moja na kujazana ujinga njoo duniami kwanza uone maisha yalivyo ndio utajua chuki humuumiza yule mwenye kuzifuatilia.
kabisa yaani si unaona walivyo na chuki za wazi kabisa dhidi ya uislam.Qur'an inasema baadhi ya wakiristo Wana chuki Sana na waislam, Qur'an haiongopi!!
Hawa mie nawajua miaka mingi sana ndio zao!Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika...
Sawa mdogo wangu Karibu duniani uone maishahivi kuna watu wanaozifatilia kama waislamu kutwa kukosoa dini za wenzao na wao kujiona bora kumbe hamna kitu
niko duniani na nayoandika hapa nimeyaona sio story za kusikia wala kusimuliwa kwenye cube kama unavyodai huko cubin nshatoka miaka nenda rudi na wala hatukuwa na hizo story kwa hiyo nachoandika nimekishuhudiaSawa mdogo wangu Karibu duniani uone maisha
Cube umetoka mwaka jana.niko duniani na nayoandika hapa nimeyaona sio story za kusikia wala kusimuliwa kwenye cube kama unavyodai huko cubin nshatoka miaka nenda rudi na wala hatukuwa na hizo story kwa hiyo nachoandika nimekishuhudia
cubin kuna utulivu amini haya nimeyakuta DunianiCube umetoka mwaka jana.
Acha victim mentality mdogo wangu. Dunia ni mbovu sana ukizingatia vitu vidogo utaona kila mtu mbayacubin kuna utulivu amini haya nimeyakuta Duniani
hakuna kilichozingatiwa ila ni maoni tu nimetoa kulingana na hoja iliyoletwa na mtoa mada na kwa sababu ina ukwelin na hamtaki kusikia ukweli ndio mana mnajitahidi kutetea hapaAcha victim mentality mdogo wangu. Dunia ni mbovu sana ukizingatia vitu vidogo utaona kila mtu mbaya
mkuu hapa kwenye tamthilia usiwalaumu Azam, tamthilia nyingi za ki-western ambazo wewe unatamani waoneshe ni sinahitaji cencoring ya hali ya juu sababu hua hazina maadili kabisa. Sababu kuu ya azam kupendelea tamthilia za kituruki na kihindi ni sababu zina maadili hazina mambo ya kipumbavu.tazama hata hizo tamthilia zao nyingi AZAM TWO zimekaa kidini katika mwelekeo wa kuponda ukristo na kutukuza dini Yao.