much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Kwani mmelazimishwa kununua?Wanajivua nguo, usitetee ujinga.
Kama wanajua watazamaji wao wana imani tofauti, hawatakiwi kuwabagua, wanachofanya ni ushamba na ubinafsi.
Vinginevyo wasiuze dikoda zao kwa wasio wa imani yao, lakini kama kwenye biashara wako tayari kupokea pesa ya yule asiye wa imani yao, lakini kwenye salamu hawataki kutoa salamu kwao, Azam ni washamba, na wasipoangalia kwa huu ujinga wao mbele ya safari utawa cost, mambo huanza taratibu.