mkunga wa jadi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2025
- 208
- 458
Tupo hapa kusema ukweli na kukemea kila aina ya upendeleo,ubinafsi na ukiritimba kwenye nchi hii na kama kuna mambo yanaenda ndivyo sivyo lazima yasemwe kuliko kuyakalia kimya kwa hili la king'amuzi tv kujaza channel nyingi za dini upande mmoja linanikera Azam tv mmejaza channel nyingi sana za kikristo mpaka kero huu ni udini wa kupindukia kila ukienda huku ma channel mengi ya kikristo halafu ya dini ya kiislamu yapo machache sana kwanini msiweke 50/50 both channels za kikristo na kiislamu? Mnakera acheni udini bwana..........