mkunga wa jadi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2025
- 208
- 458
Udini utawaua aisee.Mwaka jana ilikuwa hawakuwatakia heri ya sikukuu ya X mass ,mwaka huu channel ..Nyie jamaa kwa kupenda kutukuzwa😅
Dini ya Mwenyeaaaazi MunguTupo hapa kusema ukweli na kukemea kila aina ya upendeleo,ubinafsi na ukiritimba kwenye nchi hii na kama kuna mambo yanaenda ndivyo sivyo lazima yasemwe kuliko kuyakalia kimya kwa hili la king'amuzi tv kujaza channel nyingi za dini upande mmoja linanikera Azam tv mmejaza channel nyingi sana za kikristo mpaka kero huu ni udini wa kupindukia kila ukienda huku ma channel mengi ya kikristo halafu ya dini ya kiislamu yapo machache sana kwanini msiweke 50/50 both channels za kikristo na kiislamu? Mnakera acheni udini bwana..........
Labda kakosea au kusudi lakini azam wana udini na maudhui yao ni ya kiislamuMleta mada ameandika Azam wamejaza channel nyingi za kikristo ila wachangiaji wameelewa kama Azam wamejaza za kiislam. Ni rahisi kumuuza mbongo kupitia maandishi.
Wabongo hawana akiliMleta mada ameandika Azam wamejaza channel nyingi za kikristo ila wachangiaji wameelewa kama Azam wamejaza za kiislam. Ni rahisi kumuuza mbongo kupitia maandishi.
Udini wa kiislamu wa Azam tv uko wapi?Labda kakosea au kusudi lakini azam wana udini na maudhui yao ni ya kiislamu
Nimesema wakristo we unaongea uislamu tenaDini ya Mwenyeaaaazi Mungu
lea udini wa kikristoNadhan jombaa unaongea kinyume chake hake