kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Ni ukweli usio na kipingamizi kua king'amuzi cha Azam ni kati ya vingamuzi vinavyopendwa Tanzania na pia nchi kadhaa za Africa Mashariki, lakini bei yake imekua gumzo sana mtaani kiasi cha kuzua maswali je ni nini hasa kinapelekea bei kua kubwa kiasi hicho.
Kwa mkoa wa Iringa Mbeya na Njombe kinefikia 250,000 huku Azam wakitangaza kua ni 210,000 hadi 230,000 lakini bado ni kubwa mno haiakisi uhalisia.
Wakati DSTV ambao ni ma-Giant wa biasahra hiyo wakishusha bei mpaka 59,000 na fundi bure Azam wanazidi kupandisha bei.
Kumbukeni kua hakujawahi kua na teknolojia permanent duniani na wala hakuna biashara inayokua permanet duniani Tafuteni wateja zaidi kwa kupunguza bei ya ving'amuzi. Wapo wateja wengi ambao sio wapenz wa mpira ila wanahitaji Azam ila kutokana na bei wameamua kununua vingamuzi vingine.
Bei ya vifurushi iko pale pale ila bei ya Dishi ndo inapaa kila siku. Sasa JE,kipi bora kati ya kuongeza bei ya king'amuzi na kupata wateja wachche au kupunguza bei ya kingamuzi ili kupata wateja wengi wataolipa kila mwezi?
Kazi kwenu Azam media