Azam Tv; bei ya Ving'amuzi ni kitanzi kwenu

Azam Tv; bei ya Ving'amuzi ni kitanzi kwenu

Dstv unaowaita magiant kwa sasa wana wateja 150,000 tu azam wakiwa na wateja 800,000 huku startimes wakiwa na wateja 1.5 ml. Hizo ni takwimu za tcra.
Kupanga ni kuchagua.
DSTV wateja 150,000 u cant be serious hata kidogo mkuu! Hata kama TISIARAEI wamesema na ww fanya reasoning mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sasa hivi wamenifikisha elf 31 wakati nilikua najilipia zangu 19900 kipindi hicho au miez mingine nisilipe mpaka wanipe OFA ndo nalipa tena
 
Huwezi kua seroius hata kidogo mkuu kwa miaka yote wapo kabla ya Azam wateja 150k. Tena ndo wenye monopoly ya kuonyesha ligi kubwa duniani
Hizo ni takwimu za tcra sasa kama unabishana nao wewe basi kiboko
 
Mbona bando kwey simu mko kimya wakati mda mwingi mnashinda kwenye simu na sio TV?
 
Ndio maana walitukurupua kutoka analojia ili watuumize. Any way tutaamua wenyewe tutumie king'amuzi gani nafuu kwetu ova.
 
Nilichoshukuru Azam local channel ni bure.. na nisivyopenda kuangalia tv sitolipia abadani..

Alaf wangekuwa na akili wangeweka huduma ya kujichagulia channel, kifurushi kiwe cha channel ambazo mtu anazitaka.. unanipa channel 100 mm nizifanyie nn?
 
wajinga hawa azam watoe vile vifulushi vyao vya miezi3 ili bei ya kingangamuzi ishuke kwanza wangeweka hata mwezi1 bure sio miezi3 alafu kingangamuzi bei juu si kulazimishwa matumizi ya bandle2
 
Mbona bando kwey simu mko kimya wakati mda mwingi mnashinda kwenye simu na sio TV?
Sio kila kitu niseme mm mkuu...nakuomba na ww uanzishe uzi kuhusu bando za simu itasaidia sana
 
Dstv unaowaita magiant kwa sasa wana wateja 180,000 tu azam wakiwa na wateja 800,000 huku startimes wakiwa na wateja 1.5 ml. Hizo ni takwimu za tcra.
Kupanga ni kuchagua.

Na ndio maana dstv wameamua kushusha bei ya king'amuzi ili subscribers wawe wengi.
 
wanajiona wako juu ya mamlaka nadhani, bei za kisimbuzi na dishi ni mazoezi
 
Back
Top Bottom