Kwanini wanalazimisha tulipie miezi mitatu tena kifurushi cha juu. Watuache tuamue wenyewe.Shida ya azam hiyo bei ya laki 2 na 10 ni pamoja na vifurushi vya miezi 3vya 35,000 kwa mwezi
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
DSTV wateja 150,000 u cant be serious hata kidogo mkuu! Hata kama TISIARAEI wamesema na ww fanya reasoning mkuuDstv unaowaita magiant kwa sasa wana wateja 150,000 tu azam wakiwa na wateja 800,000 huku startimes wakiwa na wateja 1.5 ml. Hizo ni takwimu za tcra.
Kupanga ni kuchagua.
TzAfrica?
Si kweliDstv vifurushi ghali......ukitaka vya buku 20 huko unapata ma channel ya ajabu
Emb nihamasishe, ZUKU kipokipoje?Karibuni ZUKU ndugu zangu!
Hizo ni takwimu za tcra sasa kama unabishana nao wewe basi kibokoHuwezi kua seroius hata kidogo mkuu kwa miaka yote wapo kabla ya Azam wateja 150k. Tena ndo wenye monopoly ya kuonyesha ligi kubwa duniani
Bongo kila kitu tabu tupu [emoji3][emoji3]Kuangalia TV ni anasa[emoji51]
Zuku nao wana ujinga mwingi sana..Karibuni ZUKU ndugu zangu!
Ukweli upi
Dstv unaowaita magiant kwa sasa wana wateja 180,000 tu azam wakiwa na wateja 800,000 huku startimes wakiwa na wateja 1.5 ml. Hizo ni takwimu za tcra.
Kupanga ni kuchagua.
Karibuni ZUKU ndugu zangu!