Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Nishaachana na league ya kifala Kama hii ....
League gani inatimu mbili tu ..yaani Simba na yanga hazitaki kufugwa
Ndy maana huyo striker alitoa mkono wa fair play kwa kapombe.Kapombe alisukumwa hapa na mfungaji kabla ya mpira kumfikia mfungaji.
Ni faulo ya wazi kabisa
View attachment 2030162
Kwanza kabisa ww ni msimbaziHabari wakuu,
Kwa tukio la jana kukataliwa goal la Geita Gold ni wazi Azam TV wanapaswa kuboresha eneo lao la camera kwani hawakupi nafasi ya kuangalia angle zote za move ya mpira.
Mfano jana kwa picha za marudio zinaonesha tu kapombe akianguka na mfungaji kupiga kichwa na goal kukataliwa.
Je Kapombe aliwaza tu kuanguka mbele makusudi kama amepata ugonjwa wa kifafa au tatizo la moyo? kuna kitu kilitokea ambacho uduni wa camera za Azam ulitunyima kukiona.
Na ninafikiri mwamuzi alipaswa kutoa na card kwa mfungaji kwa kuhatarisha maisha ya kapombe maana rafu ya kutokea nyuma huwa ni mbaya sana.
Sema simba na yanga kuwa na aibu basisimba wanaifanya ligi hii ya nbc ionekane ndiyo 'most corrupted league' kwenye sayari hii, alafu ile taasisi ya kupambana na rushwa sijui inafanyaga kazi ganii??
Hakuna camera yoyote ya Azam inayoonesha tukio la video kwa namna hiyo. Hizo ni picha mgando zinazosambazwa na mashabiki mitandaoni. Baada ya kuona kuona hii picha yako ilinifanya niingie youtube pengine nitakutana na mgusano wa namna hiyo ili nijiridhishe kuwa kuna mgusano ila cha ajabu nakuta mtu kaweka caption ya video ya namna hiyo halafu ukija ku play ili uone. Unakuta video haioneshi kama alivyoiweka caption ya picha mnato. Kama uamini basi tafuta hiyo video halafu inaonesha tukio kama ilivyo kwenye hiyo picha ilivyoonesha iweke hapa hiyo video. Utatafuta hauwezi kuipata video ya hiyo picha iliyopostiwa hapo.Kapombe alisukumwa hapa na mfungaji kabla ya mpira kumfikia mfungaji.
Ni faulo ya wazi kabisa
View attachment 2030162