Azam TV boresheni kamera zenu

Inawezekanaje mtu akaruka juu alafu akabadili muelekeo akiwa angani na kuangukia mita kadhaa mbele bila kusukumwa? .. inaingia akilini kweli ?
 
Inawezekanaje mtu akaruka juu alafu akabadili muelekeo akiwa angani na kuangukia mita kadhaa mbele bila kusukumwa? .. inaingia akilini kweli ?
Iwe kweli ama uongo,
Jana simba imecheza vibaya, coach alimuongeza mzamiru na nyoni team ipate balance katikati ndo kwanza waliendelea kupwaya,
Onyango jana aliku hovyoo saana.
Kama Simba wanataka kurudi kwenye kiwango ni wakati sasa wa kuwaacha Erasto Nyoni, Bocco, Mzamiru,Onyango, Wawa,Gadiel,Ajibu,
Kapombe asiwe wa kutegemea atafutiwe mbadala mwenye uwezo mkubwa,
Apatikane na striker mzuri nje ya hapo tutajifariji ila hao wachezaji viwango vyao vimegota.
 
Inawezekanaje mtu akaruka juu alafu akabadili muelekeo akiwa angani na kuangukia mita kadhaa mbele bila kusukumwa? .. inaingia akilini kweli ?
Tuanzie hapa kwenye huko kubadili muelekeo vs kudondoka. Kapombe wakati anataka kuruka kichwa je alikuwa katika uelekeo upi na je baadae baada ya kudondoka akabadili uelekeo kutoka upande upi kwenda upi? Naomba nijibu kwa kulingana na ulivyoweza kuona kwenye video na sio kwa hisia zako
 
Siyo wewe hata mimi naungana na wewe! It's a clear foul
 
Kapombe alikosea timing akawahi kuruka hivyo alivyoona amepotea akamua kujiangusha...mwenzake alikua na timing nzuri akaupata mpira na kuuingiza nyavuni
 
simba wanaifanya ligi hii ya nbc ionekane ndiyo 'most corrupted league' kwenye sayari hii, alafu ile taasisi ya kupambana na rushwa sijui inafanyaga kazi ganii??
Ile taasisi sijawahi kuiamini yaani hata sikumoja haijawahi kamata hata trafiki mmoja barabarani!
 
Kwani Fei toto kwa namungo alifanyeje? Vitu vinavouwa mpira wa bongo ni vitatu (1)TFF (2)SIMBA (3)YANGA ukiwadhibiti hao kutakuwa soka bora na ni kitu hakiwezekani.
Hizi ni kauli za kizamani sana. Biashara, Namungo, Azam, Mtibwa na wengineo walishapata nafasi za kimataifa..iliwafaa nini.

Tuache kulaumu. Hizi timu zinafaida kubwa sana katika ligi na soka letu kuliko hizo maneno.

Ndiyo timu pekee pia zinazowapa mapato mengi timu zingine za mikoani huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…