Azam TV fanyeni hivi

Azam TV fanyeni hivi

Kama rembo tv ....startimes ebu ngoja nikarudisha startimes wangu
 
Azam TV nawashauri muweke Channel ya wanaotafsri muvi za Kihindi na kizungu kama akina Dj Mack. Juma Khan mtapata wateja zaidi.
Kwani dubbing ile ya voice over huipendi mkuu?
 
Kama Channel ya Kameme Tv ,hapo awali walikuwa wamemwajiri Dj Afro but now yupo Dj Junior anatafsiri kama Afro kiasi cha kwamba kama usiposikiliza vizuri basi utajua ni Dj Afro kumbe sio

Hii channel ipo Azam Tv huwa wanaweka movie karibia wiki nzima isipokua baadhi ya siku kama ijumaa hivi , time huwa ni sa4 usiku
Japo nina muda sijaingalia hii Channel
 
Dah kiukweli sijawai waelewa hao yaaani ni bora niangalie movie kwa lugha yake halisi hata ile dubing ya voice over sometime wanachanga nashindwa kuelewa anyway nilikuwa napenda lufufu sababu ya vionji vyake tu
 
😂😂😂😂..
Mambo ya rembo tv startimes..🤣🤣🤣🤣
 
AZAM TV wakifanya hivyo watakuwa wameharibu sana.

Hao jamaa kina DJ Afro na wengine wengi wao hawajasoma hivyo wanaelezea Uongo mara nyingine na pia sana matusi

Wasomi na watu wastaarabu watachefukwa tu hawatafurahia.
 
Back
Top Bottom