mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taifa hili si la wasomi pekee,hivi we unafikili Kila mtu anapenda nyimbo za matusi za baadhi ya wana muziki wetu? Mbona nyimbo zinapigwa tena wachezaji wapo nusu uchi,hao wastaarabu na wasomi wapo wapi?Azam wekeni hiyo Channel mtapata wateja wengi tena hata mkikiweka kwenye premier watu tutalipiaAZAM TV wakifanya hivyo watakuwa wameharibu sana.
Hao jamaa kina DJ Afro na wengine wengi wao hawajasoma hivyo wanaelezea Uongo mara nyingine na pia sana matusi
Wasomi na watu wastaarabu watachefukwa tu hawatafurahia.
Mimi movie za akina dj sijui nani sizielewi, ila dubbing nlianza kuipenda baada ya kuanza kufanya voice over na kuelewa kwanini muda mwingine uwa wanabadili mzungumzaji anachosema.Dah kiukweli sijawai waelewa hao yaaani ni bora niangalie movie kwa lugha yake halisi hata ile dubing ya voice over sometime wanachanga nashindwa kuelewa anyway nilikuwa napenda lufufu sababu ya vionji vyake tu
Voice over mko poa ila tatizo kuna muda mnanichanganya kwenye maelezo ya story nashindwa kuelewa aiseeMimi movie za akina dj sijui nani sizielewi, ila dubbing nlianza kuipenda baada ya kuanza kufanya voice over na kuelewa kwanini muda mwingine uwa wanabadili mzungumzaji anachosema.
Uwa wanafanya hivyo ili walengwa waelewe.
Assume movie ni ya Kazhakstan, kule wana msanii wao maarufu sana, dubbing ni ya kisw na kwenye movie walisema labda nitakuwa maarufu kama Salman. Wewe mtanzania salman humjui na wala hujui ni maarufu kiasi gani, so itabidi iwe nitakuwa maarufu kama Diamond, ili upate picha
Lakini pia Huwa wanaongea vionjo Ili kufurahisha hadhira,vitu ambavyo hata wachekeshaji wetu Huwa wanafanya na tunalipa Hela nyingi kwenda kuangalia( stand-up comedy)Mimi movie za akina dj sijui nani sizielewi, ila dubbing nlianza kuipenda baada ya kuanza kufanya voice over na kuelewa kwanini muda mwingine uwa wanabadili mzungumzaji anachosema.
Uwa wanafanya hivyo ili walengwa waelewe.
Assume movie ni ya Kazhakstan, kule wana msanii wao maarufu sana, dubbing ni ya kisw na kwenye movie walisema labda nitakuwa maarufu kama Salman. Wewe mtanzania salman humjui na wala hujui ni maarufu kiasi gani, so itabidi iwe nitakuwa maarufu kama Diamond, ili upate picha
Hahahaha, mimi sifanyi hivyo ila at least filam ambazo ziko dubbed natazama, ila za akina dj mark yani siwez kabisa tazamaVoice over mko poa ila tatizo kuna muda mnanichanganya kwenye maelezo ya story nashindwa kuelewa aisee
Wana mislead watazamaji sana ndio maana sizipendihalafu mimi napend adialogue za movie pia uwa zinanifanya kupenda movieLakini pia Huwa wanaongea vionjo Ili kufurahisha hadhira,vitu ambavyo hata wachekeshaji wetu Huwa wanafanya na tunalipa Hela nyingi kwenda kuangalia( stand-up comedy)
Uzuri kuna channel nyingi sana sio lazima mtu aangalie kama anaona anachefukwaAZAM TV wakifanya hivyo watakuwa wameharibu sana.
Hao jamaa kina DJ Afro na wengine wengi wao hawajasoma hivyo wanaelezea Uongo mara nyingine na pia sana matusi
Wasomi na watu wastaarabu watachefukwa tu hawatafurahia.
Ni kweliHizo movie zilizo tiliwa sauti ukiwa unaitazama home kwako alafu umeweka sauti ya juu jamii huko nje inakutafsili kama mtu ambae hajasoma