Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kunisaidia weweUngeandika Makontena TV
....kumbe ndo maana unalia lia wamebebwa,wamebebwa, kumbe wewe Yanga!!Hawa jamaa wanaboa sana. Kwa mfano katika mechi ya Yanga na Mafunzo, pale Yanga walipofanya makosa walikuwa wanawabeza Mafunzo kwamba hawako vizuri na kudai eti kama Yanga angecheza na timu bora kama Azam asingesalimika kwa kosa lile.
Mechi yao (Azam) ilipoanza kuchezwa wakacheza mchezo mbovu kuliko hata wa Mafunzo. Shame on you Azam TV, hatuna jinsi tu vinginevyo tungekuwa tumeshawatosa siku nyingi sana.
Nimegundua kaujanja haka: Ili kuepuka porojo za hawa jamaa, ondoa sauti ya TV kisha angalia picha tu huku ukisikiliza muziki wa injili kwa sauti ya chini katika redio, inaleta raha zaidi kuliko kusikiliza utumbo wa hawa jamaa. Kama siyo mpenzi wa muziki wa injili weka muziki unaoupenda ili mradi usisikie utumbo wao!
Siyo yeye mkuu,njaa ndio inayomfanya alete unazi kumfurahisha boss wakeMvula hafai kurtangaza mpira nafuu hata Nurdin Suleiman anabalance, Huyu mvula kazi kuiponda team pinzani na wachezaji wake
Wewe umetoka wapi usiyejua kuwa Makoye Matale ni Yanga damu? Nasisitiza bao la Mtibwa halikuwa la kuotea! Azam alipigwa na akabebwa na kile kimwanamke.....kumbe ndo maana unalia lia wamebebwa,wamebebwa, kumbe wewe Yanga!!