Azam TV heshimu wateja wenu

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Hivi hamkufanya maandalizi kabla ya hii mechi ili kujua izo nguzo zilizopo uwanjani zitaziba camera zenu wakati wa urushaji matangazo? Yaani mmekosa kabisa sehemu nyingine ya kufunga kamera? Hiki mnachokionesha ni nini sasa?

Kweli tunalipia fedha za vifurushi kuona haya mauzauza?
 
Hii ndo Bongo.... Wanaonesha hivo na hamna chochote mnachoweza kuwafanya....
 
Kweli Tanzania Machuma Yale Yanatushinda kutoka Uwanjani? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Tungekuwa tunajaza Vitu kama Kule Qatar Je?

2030 tukishiriki Kombe La Dunia Niiteni Mbwa
 
Kwa hili sidhani kama meneja wa uwanja anastahili kuendelea kuwapo kwenye hiyo nafasi. Tangu asubuhi wameshindwa kuondoa majukwaa.
Kwa mtindo huu ndio tunataka tuombe kuandaa AFCON kweli. We can't be serious.
 
King'amuzi cha Azam ni king'amuzi cha watu maskini.. tulieni hivyo hivyo dawa iwangie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…