Azam TV heshimu wateja wenu

Azam TV heshimu wateja wenu

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Hivi hamkufanya maandalizi kabla ya hii mechi ili kujua izo nguzo zilizopo uwanjani zitaziba camera zenu wakati wa urushaji matangazo? Yaani mmekosa kabisa sehemu nyingine ya kufunga kamera? Hiki mnachokionesha ni nini sasa?

Kweli tunalipia fedha za vifurushi kuona haya mauzauza?
 
Back
Top Bottom