Azam TV heshimu wateja wenu

Azam TV heshimu wateja wenu

Kati ya Watanzia wanne mmoja ni kichaa. Azam haifungi vyuma uwanjani, sio kazi yake kufunga na kufungua majukwaa. Ile ni kazi ya menejimenti ya uwanja inayojua ililipwa na Mwamposa aitumie usiku na leo jioni kulikuwa na mchezo.

Azam wanatakiwa wakute uwanja ni clear wafunge mitambo yao. Zile camera kuna utaalamu wa kufunga kamba zake za kuzunguka na inachukua muda. Huwezi fyatuka muda unaojisikia uwaambie wahamie upande mwingine kisa hujaondoa machumachuma yako. Ukifuatilia pale uwanjani kuna sehemu za kufungia kamba, alikotokea Harmonize akashuka chini ndipo alitokea Zuchu siku ya Simba day. Ujinga ni wa usimamizi wa uwanja, sio Azam
 
Thread closed.
 
Umemaliza Mkuu.
 
Back
Top Bottom