Azam TV Imefeli kwenye kujitangaza, haijulikani mechi inazoonyesha hadi ubahatishe, walio kitengo cha Promotion wang'olewe

Kikubwa waongeze idadibya chaneli za michezo, mfano weekend mechi ni nyingi wao wanachagua mechi gani waoneshe mechi gani waache!!

Kwakuwa wameleta wenyewe Ligue 1 basi kuwe na chaneli maalum ya Ligue 1, kuwe na chaneli maalum ya Bundesliga na chaneli maalum za mpira wa makaratasi (NBC PL)
 
Naunga mkono hoja , mpira wa makaratasi [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ukitoa ajira kwa kufuata mlengo fulani tena wa kibaguzi unategemea upate maendeleo na ubinifu?!

Ubaguzi wowote huwa unazaa umauti.
Chuki ni kidonda ukishiriki utateseka bure,
 
Tatizo unaangalia taarifa za mkuu wa magaidi hadi unajisahau,halafu unaleta lawama kwa wengine
 
Ukizungumzia ushoga unaigusa dini yako 100%.
Uislam hauna muda wa kukaa na kujadili ushoga uruhusiwe ama usiruhusiwe, jibu ni moja tu kwa uislam ushoga ni NO!, Ila kuna dini kabisa zinakaa kujadili hili kama uruhusiwe ama la
 
Uislam hauna muda wa kukaa na kujadili ushoga uruhusiwe ama usiruhusiwe, jibu ni moja tu kwa uislam ushoga ni NO!, Ila kuna dini kabisa zinakaa kujadili hili kama uruhusiwe ama la
Nasikitika uzi wangu ushageuzwa wa kidini , lengo langu halikuwa hilo kabisa yaani !
 
Nasikitika uzi wangu ushageuzwa wa kidini , lengo langu halikuwa hilo kabisa yaani !
Comment ya kwanza kabisa baada ya mada yako ililenga huko, ungeiripoti mods wangefanya yao, umeiacha ndio matokeo yake hayo. watu wanailalamikia uhai media kwa udini wanasahau kuwa top mgt ni wagalatia watupu
 
Ukitoa ajira kwa kufuata mlengo fulani tena wa kibaguzi unategemea upate maendeleo na ubinifu?!

Ubaguzi wowote huwa unazaa umauti.

Labda hao wanaopendelewa ndio wamemletea neema ya kumfanya Bakhressa na kampuni zake kuwa bilionea mkubwa East en Central África na inasemekana ndio alianza nao toka akiwa na ka-bakery cha mikate

Ilhali huku Serikalini wanaopendelewa ndio wamedhoofisha nchi iwe kwenye mkwamo wa kimaendeleo, ufisadi na uhujumu miaka na miaka
 
Comment ya kwanza kabisa baada ya mada yako ililenga huko, ungeiripoti mods wangefanya yao, umeiacha ndio matokeo yake hayo. watu wanailalamikia uhai media kwa udini wanasahau kuwa top mgt ni wagalatia watupu
Tatizo aliinukuu na kuiunga mkono
 
Ukiona hao uliowataja wako hapo basi ujue ametafutwa mtu anaevaa kubazi na bagalashia amekosekana,hao wako hapo ila wasaidizi wao wote ni kubazi tupu!! Kuna ubaguzi sana hapo kwa mpemba.
 
Hebu fafanua kidogo mkuu
Azam kwenye mambo yake mengi inapokuja swala la kutoa ajira amekuwa analenga sana watu wa Tanzania visiwani yaani Zanzibar na pia kutokana na mtindo huo wale wadau wanajenga sana akili za udini yaani vetting zao wanatazama sana udini utadhani wanakwenda kufanya ibada.
 
Dunia ya leo watu waache kutafuta pesa waanze kugombana kisa maswala ya Imani hiyo ngumu sana. Maisha yameshakuwa ya tofauti sana.

Anyways why unaongea kama upo 100% assured ya kitu unachosema?!

Mimi nimeongea baada ya kutafiti na kujionea like i know what am saying.
 
Ukiona hao uliowataja wako hapo basi ujue ametafutwa mtu anaevaa kubazi na bagalashia amekosekana,hao wako hapo ila wasaidizi wao wote ni kubazi tupu!! Kuna ubaguzi sana hapo kwa mpemba.
Ukitizama kwa mlengo huo lazima uone vitu hivyo. Msaidiz wa kahemele ni mkristu kama sikosei, alikuwa zakazakazi amepelekwa azam fc.

Tuache mambo ya udini.
 
Chuki mbaya sana hivi unazani Afrika mashariki kuna kama AZAM pamoja na ubaguzi wake ?

hebu tuelezee ubaguzi wa AZAM media ni upi?
INAONEKANA UNAUCHUKIA SANA UISLAMU.
Kuna sehemu nilisema "UISLAMU" au unajaribu kunifundisha namna ya kukashifu?!

Anyways hicho ulichosema ni uislamu actually nadhani kipo ndani ya nilichokuwa namaanisha kimsingi ulichosema ni kitu cha pili kutoka cha kwanza. Nilichomaanisha ni wenzetu wa pwani ndo wanapewa shavu so wakija huku wanakuwa hawana option wakikosa wenzao wa pwani basi watatafutiza vielement vya imani ila ch kwanza ni kuweka uarabu au uzanzibari.

Kuna washkaji zangu watu weusi wamepatwa na madhira na ni waislamu sasa siju wewe ulianzaje kuelewa ambacho umeelewa.

Next time uliza kwanza mlengo gani namaanisha. Hata jinsia ni mlengo, rangi ni mlengo, ukanda ni mlengo, ukabila ni mlengo, so why wewe umenichagulia mlengo wa dini straight forward?!

Hebu uwe unatuliza kichwa kabla haujaongea.
 
Chuki mbaya sana hivi unazani Afrika mashariki kuna kama AZAM pamoja na ubaguzi wake ?

hebu tuelezee ubaguzi wa AZAM media ni upi?
INAONEKANA UNAUCHUKIA SANA UISLAMU.
Wewe ndio una chuki na uislamu acha kuwajaza watu maneno kwa vitu ambavyo hawajasema. Sasa wewe umetoka wapi na hayo mawazo ya kudhania mwenzako anaongea ulichosema wewe?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…