Azam TV Imefeli kwenye kujitangaza, haijulikani mechi inazoonyesha hadi ubahatishe, walio kitengo cha Promotion wang'olewe

Nadhani tatizo ni operating system ambayo inatumiwa na azamtv haipo unfit kwa kuweka vikorombwezo vingi.

Ile os wanatumia dstv nadhani ni ubuntu au linux ipo vizuri sana, unaweza ibebesha mzigo mkubwa na ikawa imara.

Azamtv nadhani waachane na wachina na hizo booting system zao ambazo ndani ya dakika 1 inakuwa tayari iko loaded.
 
Hebu fafanua kidogo mkuu
Ana maana Azam anaajiri kwa kuangalia imani yako ya dini. Kwa hiyo anaweza kuacha mwenye ueledi kisa tu sio wa dini yake akamuajiri asio na euledi wa dini yake.
 
Ana maana Azam anaajiri kwa kuangalia imani yako ya dini. Kwa hiyo anaweza kuacha mwenye ueledi kisa tu sio wa dini yake akamuajiri asio na euledi wa dini yake.
Kuna ukweli kwenye hilo ?
 
You've said it all man!
 
Tanzania usipoitwa mchawi,,mdini,,kujistukia,Mara mjivuni,,ujue haujatoboa....hii nchi tunaishi kinafiki Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…