Azam TV jiongezeni mtuwekee sauti bandia za mashabiki mechi ya Simba vs Constantine

Sema tufunge maspika uwanjani, Ahmed awe studio anaziachia tu hizo sauti.
 
Tutaweka sauti ya vilio vya mashabiki wa yanga wakiwa wametolewa kwenye mashindano
 
Hivi kulikuwa kuna sababu gani ya kung'oa vile viti siku ile mpaka kufikoa hatua ya kufungiwa nyinyi mashabiki mbumbumbu kuingia uwanjani, na pia timu yenu kupigwa faini ya mamilioni ya shilingi?

Halafu siyo mara ya kwanza kwenu kuvunja viti vya ule uwanja! Hivi nyinyi mashabiki wa simba mna shida gani hasa na vile viti vya uwanja wa Mkapa? Kwa nini mkiviona tu, mnawaza kuving'oa!!
 
Kwa maneno ya Smart911 tugange yajayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…