Azam TV king'amuzi sauti

Azam TV king'amuzi sauti

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
Naomba msaada jamani, TV yangu imeharibika speaker. Sasa nataka sauti itike katika Kingamuzi maana naona vina speaker. Je nifanyeje? Asante
 
Naomba msaada jamani, TV yangu imeharibika speaker. Sasa nataka sauti itike katika Kingamuzi maana naona vina speaker. Je nifanyeje? Asante
King'amuzi kina spika!!??cjawahi kiona hicho king'amuzi, labda kama ni toleo jipya!!kama una subwoofer, au radio kubwa yenye pini ya aux.unaweza kuitumia kupata sauti.
 
Back
Top Bottom