Azam tv: Kipindi maalum cha sabasaba historia ya kuasisiwa kwa tanu 1954

Azam tv: Kipindi maalum cha sabasaba historia ya kuasisiwa kwa tanu 1954

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Wanamajlis,
Leo Jumanne saa moja na robo asubuhi In Sha Allah nitakuwa na kipindi
Maalum kama inavyoonekana hapo juu katika Morning Trumpet.

bibiNyereretalk.jpg

Julius Nyerere, Bi. Titi Mohamed na John Rupia Katika Mkutano wa TANU Jangwani 1950s​
 
hivi kwa nn azam tv haipo kwenye list ya local channels?
 
Nimemuona na kumsikiliza Mzee Mohamed. Kiasi fulani Uislam hajautumia sana kwenye maelezo yake.
 
Muulize Huyo mzee said makaratasi mkononi ya nini au ameshasahau historia ya tanganyika?
DSCN2072.JPG

King Kong,
Katika hiyo karatasi nimeandika ''notes,'' zangu huwa nafanya rejea
wakati nikizungumza.

Kusahau ni ubinadamu lakini historia ya Tanganyika kwa kipande kikubwa
naifamu vyema.

Alhamdulilah.
 
WildCard,
Kwani hairuhusiwi kueleza historia ya Waislam?

Mkuu Moh maswali mengine niyakichokozi - wewe ignore tu, wenye nia ya kuelewa historia ya kweli kuhusu harakati za kupigania uhuru wa Taifa letu watakuelewa.
 
DSCN2072.JPG

King Kong,
Katika hiyo karatasi nimeandika ''notes,'' zangu huwa nafanya rejea
wakati nikizungumza.

Kusahau ni ubinadamu lakini historia ya Tanganyika kwa kipande kikubwa
naifamu vyema.

Alhamdulilah.

Nimekufatilia kuanzia mwanzo hadi mwisho serikali inabidi irudishe maana halisi ya 77 na si haya tunayoyaona leo.
 
Mkuu Moh maswali mengine niyakichokozi - wewe ignore tu, wenye nia ya kuelewa historia ya kweli kuhusu harakati za kupigania uhuru wa Taifa letu watakuelewa.

Bukyanagandi,
Mimi nitaeleza yale ambayo nayajua na wala simlazimishi mtu kuniamini.
Ukweli ndiyo huo niloeleza leo katika kile Kipindi Maalum cha Sabasaba.
 
Back
Top Bottom