Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
In sha Allah tutakitazama.
Nnamuona Alama Mohamed Said anamwaga vitu "comfortably" kuhusu kuzaliwa kwa TANU na Uhuru wa Tanganyika ndani ya Azam TV "TWO".
Muulize Huyo mzee said makaratasi mkononi ya nini au ameshasahau historia ya tanganyika?
Nimemuona na kumsikiliza Mzee Mohamed. Kiasi fulani Uislam hajautumia sana kwenye maelezo yake.
Iwe mbali kabisa na historia ya TANU au ya NCHI. TANU haikuwa ya WaIslam wala NCHI hii sio ya WaIslam au DINI nyingine yoyote.WildCard,
Kwani hairuhusiwi kueleza historia ya Waislam?
#MorningTrumpet ni laivu kila siku asubuhi hairudiwagi.marudio lini?
hivi kwa nn azam tv haipo kwenye list ya local channels?
WildCard,
Kwani hairuhusiwi kueleza historia ya Waislam?
WildCard,
Kwani hairuhusiwi kueleza historia ya Waislam?
King Kong,
Katika hiyo karatasi nimeandika ''notes,'' zangu huwa nafanya rejea
wakati nikizungumza.
Kusahau ni ubinadamu lakini historia ya Tanganyika kwa kipande kikubwa
naifamu vyema.
Alhamdulilah.
Mkuu wangu BukyanagandiMkuu Moh maswali mengine niyakichokozi - wewe ignore tu, wenye nia ya kuelewa historia ya kweli kuhusu harakati za kupigania uhuru wa Taifa letu watakuelewa.
Mkuu Moh maswali mengine niyakichokozi - wewe ignore tu, wenye nia ya kuelewa historia ya kweli kuhusu harakati za kupigania uhuru wa Taifa letu watakuelewa.
nambie jinsi ya kupata vitabu vyako huku mwanza