Azam TV kulikoni mechi za Ndanda zinazochezwa Mtwara hazirushwi?

Azam TV kulikoni mechi za Ndanda zinazochezwa Mtwara hazirushwi?

Dupe

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
1,668
Reaction score
811
Azam Tv toka ligi ya vodacom 2014/2015 ianze hamjawahi kurusha mechi ya Ndanda ambayo wamecheza Umoja Stadium (Mtwara), labda leo nimeona nivema kuliweka hili bayana kulikoni mpaka musirushe hizi mechi zinazochezea Mtwara? Au vuguvugu la ges linawatisha bado?
 
Au tatizo ni yule bibi wa gesi? Ha ha ha!
 
Back
Top Bottom