Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 811
Azam Tv toka ligi ya vodacom 2014/2015 ianze hamjawahi kurusha mechi ya Ndanda ambayo wamecheza Umoja Stadium (Mtwara), labda leo nimeona nivema kuliweka hili bayana kulikoni mpaka musirushe hizi mechi zinazochezea Mtwara? Au vuguvugu la ges linawatisha bado?